ngaranumbe
Senior Member
- Apr 16, 2012
- 148
- 39
Kuunda baraza la mawaziri ni rahisi kabisa kwani makatibu wakuu wa wizara ndio wataalamu, awape akina Komba na ikishindikana abadilishe maboga yaleyale kwa kubadili wizara
Njia pekee ya kuondokana na mikataba hiyo ya kihuni, wakati umefika kwa serikali kuamua kutaifisha moja kwa moja maeneo hayo yaliyofanyiwa uhuni; ijapokuwa kwa kufanya hivyo ijiweke tayari kulipa gharama na pengine hata kutengwa kwa muda. Tukumbuke ujasiri wa Mwalimu Nyerere alivyolishughulikia suala la kampuni ya Lonhro. Lakini sio kutaifisha tu lakini kukabidhiwa mtu ambaye atakuwa makini na muwajibikaji kama Magufuli ili kusimamia uendeshaji wake.Inaelezwa 'inaonekana hata awe nani, akiwekwa kwenye wizara mfano, ya uchukuzi, kufufua ATC au TRC ni mzigo mkubwa kutokana na mazingira yanayotokana na mikataba ya kihuni iliyoingiwa huko nyuma, na kwa vyovyote atakayekubali kuingia kuchukua kiti ndani ya wizara hizo, hususani, Madini, uchukuzi, awe tayari kuzomewa kwani mabadiliko ya maana ni ndoto, especially kwa mfumo huu tulionao sasa.
Kuna tetesi (uwezekano) kwamba, kuchelewa kutangazwa kwa baraza la Mawaziri ni ugumu uliopo kwa mamlaka ya uteuzi katika kupata watu makini, katika wizara "tata" za Madini na Uchukuzi, ambapo kati ya mawaziri wa sasa 'machachari' hawataki kubebeshwa 'kikombe hicho'
Inaelezwa 'inaonekana hata awe nani, akiwekwa kwenye wizara mfano, ya uchukuzi, kufufua ATC au TRC ni mzigo mkubwa kutokana na mazingira yanayotokana na mikataba ya kihuni iliyoingiwa huko nyuma, na kwa vyovyote atakayekubali kuingia kuchukua kiti ndani ya wizara hizo, hususani, Madini, uchukuzi, awe tayari kuzomewa kwani mabadiliko ya maana ni ndoto, especially kwa mfumo huu tulionao sasa.
My Take: Kwa waadilifu, wakubali, kwani ni katika wizara hizo 'mbaya' ambako kiongozi anaweza kufanya 'diference' na kuonesha uwezo wake tofauti na waliomtangulia. Hata asipoweza kuifanya Reli ifanye kazi katika mwaka wa kwanza, akichukua hatua ya kuwajibisha wahujumu wote na kufutilia mbali mikataba yote mibovu, na hivyo kuhakikisha yanakuwepo mazingira mazuri ya utendaji kazi, kila mtu ataona juhudi hizo na kwa hakika ndani ya muda fupi, hata kama ni miaka 2-3, matunda yataonekana.
wafanye mseto wapate msada wa chadema.....vinginevyo zaidi ya magufuli sioni mmbunge mwingine yeyote wa ccm anayefaa kuwa waziri!!!!!!!
Tusishangae pale lusinde atakapopewe wizara
Rais Kikwete wala asisumbuke, aunganishe Nishati, madini na uchukuzi ziwe wizara moja na amkabidhi Magufuli. Simple.
Naomba nipewe Wizara korofi kwa miezi 18 tu, ntakiwa nimeirekebisha kwa kiasi kikubwa.matokeo 17 yatatangazwa kila mwezi.....
Mbona unaonekana una mambomengi tayari, utaweza kweli?
Rais Kikwete wala asisumbuke, aunganishe Nishati, madini na uchukuzi ziwe wizara moja na amkabidhi Magufuli. Simple.
Probably! Nilimsikia Waziri 'Tyson' akiiponda hoja ya majimbo. Eti anadai Tz area yake ni kama jimbo la Texas kule US hivyo kuigawa into states ni ngumu. Pia akadai ni kuongeza gharama za uendeshaji wa hizo states. Je hoja hizi zikoje? Kwani hakuna mifano ya nchi zenye area ndogo kuliko hizo za China, Canada na Marekani lakini zina states? Najua hapa ktk jamvi wapo watu wanaoweza kusadia kwa hili. HEBU WEKENI FACTS HAPA
Magufuli sio Mungu. Kwanza wamuache hapohapo kwenye ujenzi asimamie lami zetu vizuri kwanza kabla ya kuhamisha.
wizara mpya ya matusiwafanye mseto wapate msada wa chadema.....vinginevyo zaidi ya magufuli sioni mmbunge mwingine yeyote wa ccm anayefaa kuwa waziri!!!!!!!
Tusishangae pale lusinde atakapopewe
wizara
Huyu ni basi tu mungu kamchagulia kuwa huko aliko lakini alishauza nyumba za serikali hafai hata kwa kulumangia bada, kadri wanavyomsifia basi subirini auze na barabara zenu za viraka vya Lami[/QUOTE
Haimaanishi kuwa yeye ndo msafi,ila ana afadhali
JK hajasema kama anataka kupangua baraza lake la mawaziri. Kamati Kuu ya CCM ndio'' imemshauri''. Atachukua uamuzi wao? lini? hakuna anayejua zaidi ya JK pekee. Ni ajabu watu kuanza kuja na story au tetesi ya aina yoyote ile
Namashauri NISHATI NA MADINI ZIWE WIZARA MBILI TOFAUTI.
Ile ya NUndu na Magufuli ziungane iwe moja