Kuchelewa Baraza jipya la Mawaziri: Wanaopendekezwa wizara zinazolalamikiwa sana wanakataa

theophilius

Senior Member
Nov 19, 2010
150
54
Kuna tetesi (uwezekano) kwamba, kuchelewa kutangazwa kwa baraza la Mawaziri ni ugumu uliopo kwa mamlaka ya uteuzi katika kupata watu makini, katika wizara "tata" za Madini na Uchukuzi, ambapo kati ya mawaziri wa sasa 'machachari' hawataki kubebeshwa 'kikombe hicho'

Inaelezwa 'inaonekana hata awe nani, akiwekwa kwenye wizara mfano, ya uchukuzi, kufufua ATC au TRC ni mzigo mkubwa kutokana na mazingira yanayotokana na mikataba ya kihuni iliyoingiwa huko nyuma, na kwa vyovyote atakayekubali kuingia kuchukua kiti ndani ya wizara hizo, hususani, Madini, uchukuzi, awe tayari kuzomewa kwani mabadiliko ya maana ni ndoto, especially kwa mfumo huu tulionao sasa.

My Take: Kwa waadilifu, wakubali, kwani ni katika wizara hizo 'mbaya' ambako kiongozi anaweza kufanya 'diference' na kuonesha uwezo wake tofauti na waliomtangulia. Hata asipoweza kuifanya Reli ifanye kazi katika mwaka wa kwanza, akichukua hatua ya kuwajibisha wahujumu wote na kufutilia mbali mikataba yote mibovu, na hivyo kuhakikisha yanakuwepo mazingira mazuri ya utendaji kazi, kila mtu ataona juhudi hizo na kwa hakika ndani ya muda fupi, hata kama ni miaka 2-3, matunda yataonekana.
 
Siwazi kama kuna nguvu mpya inakuja zaidi ya kupewa mtu atakayeweza kutafuta huruma ya wabunge ili kuficha madudu ili era ya utawala wa matope imalizike salama.
 
Rais Kikwete wala asisumbuke, aunganishe Nishati, madini na uchukuzi ziwe wizara moja na amkabidhi Magufuli. Simple.
 
Hakuna mpya, mipiga mabenchi mingi viti maalum wengine Pro EL kitu ambacho Hutaki Unaacha alikidokeza
 
Soln ni states gvt(kama ilivyo marekani, china,india,canada n.k). Hii itawapunguzia majukumu mawaziri. Na ufanisi katika kutimiza vipaumbele vya nchi.

Tuachane na mfumo wa waziri mmoja kushughulikia umeme na madini yote ya Tanzania. Tu_divide work into states kama ilivyo Marekani, Canada, China n.k
 
Kuna tetesi (uwezekano) kwamba, kuchelewa kutangazwa kwa baraza la Mawaziri ni ugumu uliopo kwa mamlaka ya uteuzi katika kupata watu makini, katika wizara "tata" za Madini na Uchukuzi, ambapo kati ya mawaziri wa sasa 'machachari' hawataki kubebeshwa 'kikombe hicho'

Inaelezwa 'inaonekana hata awe nani, akiwekwa kwenye wizara mfano, ya uchukuzi, kufufua ATC au TRC ni mzigo mkubwa kutokana na mazingira yanayotokana na mikataba ya kihuni iliyoingiwa huko nyuma, na kwa vyovyote atakayekubali kuingia kuchukua kiti ndani ya wizara hizo, hususani, Madini, uchukuzi, awe tayari kuzomewa kwani mabadiliko ya maana ni ndoto, especially kwa mfumo huu tulionao sasa.

My Take: Kwa waadilifu, wakubali, kwani ni katika wizara hizo 'mbaya' ambako kiongozi anaweza kufanya 'diference' na kuonesha uwezo wake tofauti na waliomtangulia. Hata asipoweza kuifanya Reli ifanye kazi katika mwaka wa kwanza, akichukua hatua ya kuwajibisha wahujumu wote na kufutilia mbali mikataba yote mibovu, na hivyo kuhakikisha yanakuwepo mazingira mazuri ya utendaji kazi, kila mtu ataona juhudi hizo na kwa hakika ndani ya muda fupi, hata kama ni miaka 2-3, matunda yataonekana.

wampe mama mkwe Zakia Meghji
 
b
Hakuna mpya, mipiga mabenchi mingi viti maalum wengine Pro EL kitu ambacho Hutaki Unaacha alikidokeza

Mkuu spencer vipi Hutaki Unaacha amekuwa AWOL au is missing in action? JF hata hatujishughulishi na kujua part III iliishia wapi na hata kama yupo ama la.
 
Last edited by a moderator:
Namashauri NISHATI NA MADINI ZIWE WIZARA MBILI TOFAUTI.
Ile ya NUndu na Magufuli ziungane iwe moja
 
wafanye mseto wapate msada wa chadema.....vinginevyo zaidi ya magufuli sioni mmbunge mwingine yeyote wa ccm anayefaa kuwa waziri!!!!!!!

Tusishangae pale lusinde atakapopewe wizara
 
Kuna tetesi (uwezekano) kwamba, kuchelewa kutangazwa kwa baraza la Mawaziri ni ugumu uliopo kwa mamlaka ya uteuzi katika kupata watu makini, katika wizara "tata" za Madini na Uchukuzi, ambapo kati ya mawaziri wa sasa 'machachari' hawataki kubebeshwa 'kikombe hicho'

Inaelezwa 'inaonekana hata awe nani, akiwekwa kwenye wizara mfano, ya uchukuzi, kufufua ATC au TRC ni mzigo mkubwa kutokana na mazingira yanayotokana na mikataba ya kihuni iliyoingiwa huko nyuma, na kwa vyovyote atakayekubali kuingia kuchukua kiti ndani ya wizara hizo, hususani, Madini, uchukuzi, awe tayari kuzomewa kwani mabadiliko ya maana ni ndoto, especially kwa mfumo huu tulionao sasa.

My Take: Kwa waadilifu, wakubali, kwani ni katika wizara hizo 'mbaya' ambako kiongozi anaweza kufanya 'diference' na kuonesha uwezo wake tofauti na waliomtangulia. Hata asipoweza kuifanya Reli ifanye kazi katika mwaka wa kwanza, akichukua hatua ya kuwajibisha wahujumu wote na kufutilia mbali mikataba yote mibovu, na hivyo kuhakikisha yanakuwepo mazingira mazuri ya utendaji kazi, kila mtu ataona juhudi hizo na kwa hakika ndani ya muda fupi, hata kama ni miaka 2-3, matunda yataonekana.

tatizo liko wapi mshaurini president aunganishe uchukuzi na ujenzi kuwa miundombinu na amkabidhi hiyo wizara Mh.Jihn Pombe Joseph Magufuli. kwa kufanya hivyo atakuwa amebaki na tatzo moja tu,, W/nishati ambayo napendekeza amkabidhi Harrison George Nwakyenbe.
 
JK hajasema kama anataka kupangua baraza lake la mawaziri. Kamati Kuu ya CCM ndio'' imemshauri''. Atachukua uamuzi wao? lini? hakuna anayejua zaidi ya JK pekee. Ni ajabu watu kuanza kuja na story au tetesi ya aina yoyote ile
 
Soln ni states gvt(kama ilivyo marekani, china,india,canada n.k). Hii itawapunguzia majukumu mawaziri. Na ufanisi katika kutimiza vipaumbele vya nchi.

Tuachane na mfumo wa waziri mmoja kushughulikia umeme na madini yote ya Tanzania. Tu_divide work into states kama ilivyo Marekani, Canada, China n.k

Probably! Nilimsikia Waziri 'Tyson' akiiponda hoja ya majimbo. Eti anadai Tz area yake ni kama jimbo la Texas kule US hivyo kuigawa into states ni ngumu. Pia akadai ni kuongeza gharama za uendeshaji wa hizo states. Je hoja hizi zikoje? Kwani hakuna mifano ya nchi zenye area ndogo kuliko hizo za China, Canada na Marekani lakini zina states? Najua hapa ktk jamvi wapo watu wanaoweza kusadia kwa hili. HEBU WEKENI FACTS HAPA
 
Rais Kikwete wala asisumbuke, aunganishe Nishati, madini na uchukuzi ziwe wizara moja na amkabidhi Magufuli. Simple.

Simple namna hiyo! Nishati, Madini na Uchukuzi? Kuna uhusiano gani kati Nishati/Madini na uchukuzi?
 
Back
Top Bottom