Kuchangia TV IMANI ni Kesho Uwanja wa Taifa.

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Kongamano kwa wakaazi wa
Dar es Salaam na walio
karibu,kutakuwa na
kongamano la kuchangia TVI
jumapili tarehe 18/12/2011
UWANJA WA TAIFA,saa mbili asubuh mpaka 12 jion ni bure
waumin na wapenda
maendeleo wote shime kufika.
CHA KUSIKITISHA NI
KWAMBA,WAKATI HUKO
UWANJA WA TAIFA KUNA SHUGHULI KUBWA NAMNA
HIYO,NA PALE STARLIGHT KUNA
HABARI KUWA KUTAKUWA NA
MASHINDANO KWA MADARASA
10 ZA DARESALAM.
MASHINDANI HAYO NI YA KUPIGA KASWIDA,JE WAWAJUA
WAAANDAJI? NI CLOUDS RADIO 88.4 NA
CLOUDS TV. (HAWATOKUBALI MAYAHUDI NA
MANASWARA MPAKA MUFATE
MILA ZAO). Pia tunaomba kwa wale ambao hawatafika wachangie kwa M-pesa. Lakini kwa wale watakao hudhuria wawe wanatupa up dates ili na wengine waliombali wafaidike. Natanguliza Shukran Zangu za Dhati.
 
Back
Top Bottom