Kuchangia maoni kuhusu katiba mpya

pihu

Senior Member
Feb 21, 2011
103
18
Hi

Je kuna yeyote anayejua jinsi ya kuchangia maoni ya katiba mpya? navyokumbuka ni kwamba kuna email iliyotangazwa tht kupitia hiyo mwananchi anaweza kutoa maoni yake; does anyone rem this?

Pls i need to know how to changia mawazo kwenye katiba mpya

Thanks

Pihu
 
Back
Top Bottom