Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchakachulia Maombi ya Basha

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Zakumi, Jan 6, 2011.

 1. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,574
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kijana mmoja mtanashati alipata kazi sehemu moja, jina kapuni. Lakini wenzake walimtonya kuwa bosi wa sehemu iliyo anapenda kuwafanyizia wenzake vibaya.

  Kutokana na taabu ya maisha kijana alikubali kazi na boss akawa anamchangamkia sana. Lakini unajua tena kuomba mchezo kwa mtu mwenye jinsi zinazofanana inataka moyo.

  Hivyo bosi akawa anampa kijana nafasi nzuri za kazi na kumpa offer za lunch lakini kijana akawajifanya aelewi somo.

  Baada ya kupita kama miezi sita hivi na urafiki wao ukiwa umeshamiri, bosi akahamua kutoa duku lake la moyoni.

  Kijana hakukasirika na akamwambia boss: "Nipo mwezini"
   
 2. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,408
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  DUh!! hapo lazima basha anywee!!
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,954
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Basha hubaashiwa Kijana angeomba yeye
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 17,576
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  hahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa safi sana
   
 5. Y

  Yahabib_1 Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da.huyo.jamaa.bonge.la.mjinga.kama.mimi.natoa.ushauri.boss.kama.huyo.unamchuna.mpaka.nguo.atie.kiraka.wewe.ukipata.nafasi.hio.nakushauri.ichangamkie.du.bonge.la.zali.
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,537
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mkuu nakushauri utumie space button ya simu yako......
   
 7. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Haina space btton mwazme yko basi mkuu
   
 8. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mambo ya Waislamu hayo, au bora niseme uridhi wa pwani na Zanzibar toka arabuni. tigo ni kama nyama ya mtu, ukionja huachi
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tobaaa!!!
   
Loading...