kuchakachua ZTE

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Naomba msaada mwenye utalaamu. Nimedownload ila nimeshindwa jinsi ya kuitumia. Nina modem ya voda.
 
kuna thread kibao zinazo ongelea ZTE himu. zitafute hizo kuna maelekezo ya kutosha
 
tumia dashbrd mpya ya airtel, modem zao hivi sasa ni zte, ukiweka ya voda unatumia nayo bila shida..
 
Back
Top Bottom