kuchakachua receiver za startimes

wakozuka

Member
Mar 24, 2011
29
3
jamani wale wanopenda kuumiza kichwa, hivi kuchakachua hizi mazaga ya startimes nipate channel kwa bei nafuuu inawezekana kweli, nipenijibu kama inawezekana nianze kazi ya kuumiza kichwa.
:spy::spy:
 
Inawezekana hakuna kisicho wezekana umiza kichwa ukipata njia njoo hapa utusaidie nasisi tunaoumiza kichwa katika nyanja nyingine
 
jamani wale wanopenda kuumiza kichwa, hivi kuchakachua hizi mazaga ya startimes nipate channel kwa bei nafuuu inawezekana kweli, nipenijibu kama inawezekana nianze kazi ya kuumiza kichwa.
:spy::spy:

mim naamin inawezekana 100% na nirahisi kama unamsukuma mlevi vile.

Ila kwanza inabidi ujue utendaji wake wa kazi inafanya fanya vipi kazi ukisha ijua kiundani basi waweza kuifanya vyovyote utakavyo.

Inawezekana kuichakachua na kuingiza chanel zingine kama star tv,itv,capital,chanel 5 n.k
 
Back
Top Bottom