Kucertify vyeti: hii imekaaje wenye ujuzi?

Doyi

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,426
1,475
Wanajamvi kwa muda mrefu nikisoma baadhi ya matangazo ya kazi wanataka CERTIFIED certificates.Nimekuwa nkipuuzia hlo suala ila mambo hayawi mambo.(spat kaz)Jamaa yangu m1 ni mwanasheria akaniambia kuwa ni vyema ni CERTIFY copy za vyet vyangu kwa kugonga muhuri wa mwanasheria ili kuwa rahsi kupata job.Nashkuru Mungu nimeshafanya hvo.Ila je nauliza hlo suala lina ukweli gan katka soko la ajira??na kama lina ukweli wanajamvi tuelimishen ambao hatuna ajira.Naomba kuwasilisha
 
Sio kazi zoote ambazo zatangazwa zahitaji u-certify copy ya vyeti vyako.... na ku-certify vyeti wala sio gurantee kua sasa utapata kazi. Hizo ni entity mbili ambazo za jitegemea na wala haziingiliani kwa maana ya kusema kua sasa sababu ume-certify ndio itakua kigezo cha wewe kupata kazi. Kazi endelea tu kutafta mkuu... na ajabu waweza kuta mahala utapopata watahitaji copy hata kama huja-certify.
 
Ku-certify certificate means "I agree this is the true copy of original"
Toa hela ni buku2 hadi 5 kwa wanasheria
 
Back
Top Bottom