KUboot Computer kwa Computer

blackdog

Member
Jan 9, 2011
89
8
wana JF,niliwai kusikia Mtu ana Boot computer kwa kutumia Computer nyingine ? naomba nielekezeni kujua njia inayotumika
 
wana JF,niliwai kusikia Mtu ana Boot computer kwa kutumia Computer nyingine ? naomba nielekezeni kujua njia inayotumika

Just google PXE booting
Unaweza kuanza kwa kusoma hapa
PXE Booting - Wiki

but Kimsingi vitu vinavyohitajika ni hivi

  • Kompyuta (client) amabyao Network (NIC) inaruhusu PXE booting. Pia BIOS
    yake inaruhusu na imefanyiwa cinfiguration na setutu i boot from network from network

  • Server au DHCP server amabyo itakuwa na files na ip adress za kuwezesha mashine husika ku boot .Router kama za CISCO zinaweza kuwa kama DHCP server kwa case hii.
NB.Sio router zote zina uwezo wa kufanya remte booting kwa client
  • Network
NB.
Booting and powering a pc ni vitu tofauti. hii booting maana yake ni kwamba uki press power on kompyuta itas oma BIOS yake then itakwenda kwenye network
kutafuta file image itayoiwezesha kuboot.
 
Asante,lakini maelezo yako ni ya kitaalamu sana. sitaweza kutumia kwani mimi nimeunganisha komputa zangu kwa LOCAL NETWORK.na sizani kama ina files za kuwezesha booting.
 
Basi kama maeleo hayo ni google mameno haya kwanz
Computer boot process

Huwezi kupat maelez amabayo si yakitaalamu sabbu kitu unahotaka kufanya ni cha kitaalam zaidi. ili usione malezo ni ya kitaalam sana na yasikuchanganye soma kw aundani Boot process

  • BOIS ya kwenye komyuta yako kwa kawaida ndo inajua file la boot. ini liko wapi. SO ukitaka kompyuta yako iboot kutumia kopyuta nyingine kupitia network kwanz utahitji BIOS inayoruhsu kuboot kwenye netwrok utahistaji Network car pia inayoruhusu kupitisha protocol za kuboot.

  • Sasa kompyuta X itajuaje kuwa file litaolowezesha kuboot liko liko kwenye kompyuta Y. Simpmy unahitaji BIOS iwe configured na iambiwe kuwa file la Boot .ini liko kweenye kompyuta yenye ipadress b.b.b.b( ambayo ni adress ya kompyuta y). Sio BIOS au netwrok card zote zinaweza kuwa na uwezo huu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom