Kubomoa makazi ya watu wa kunduchi kumbe ni kupisha ujenzi wa Salma Kikwete foundation

zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,840
657
leo nimeshanga sana na watu wamebaki midomo wazi baada ya katibu wa chadema jimbo la kawe kuelezea jinsi serikali ilivyokuwa na plan ya muda mrefu toka mwaka 2008 kwa ajili ya ujenzi wa wa jengo la mama salma kikwete foundition kwa kweli inatia simanzi kubwa sana
 
tatizo nini au hilo jina linakupa mashaka?tunahitaji maendeleo siyo uvamizi wa ardhi ati kwa kisingizio cha uzawa.mama TIBAIJUKA kaza buti songa mbele
 
Hapo ni tangu enzi ya Lowassa alipokwenda kupiga marufuku ya uchimbaji kokoto lakini mambo yakaendelea kama kawaida ukiwemo na ujenzi.

jee hawa wana vibali vya ujenzi au imekuwaje?
 
Tupe full content mkuu tunahamu ya kusikia alichosema chote sio highlights. Tafadhali mkuu usitunyime huu uhondo.
 
Back
Top Bottom