Kubleed kupitiliza

Pole sana hilo linaweza kuwa ni yale mauvimbe tumboni yako mengi huwa yanapasuka na mtu anapata bleed nying ushauri wangu nenda hospital kawaone madaktari bingwa wa kina mama watausaidia kama uko Dar nenda kwa Prof. Mgaya (Baba) pale Mbuyuni Maria Clinic
 
Nilikuwa nashangaa kidogo hilo suali lako na jina la hapo juu. Nilidhani Francis ni jina la kiume ndiyo nikawa najiuliza imekuwakuwaje?

Samahani lakini.
 
Back
Top Bottom