Kubenea wa MWANAHALISI amenunuliwa na mafisadi?

tumeanza kulishwa matunda pori na hawa mafisadi
hapa kuna two things
mtoa mada chombo cha fisadi au kaijingwa mjini
milioni 20, ni kidogo sana kumnunua kubena lakini
pia mafisadi wana hela ya wizi bana hawanunui kwa bei ndogo hivyo kaaaaaaaaaa
 
tumeanza kulishwa matunda pori na hawa mafisadi
hapa kuna two things
mtoa mada chombo cha fisadi au kaijingwa mjini
milioni 20, ni kidogo sana kumnunua kubena lakini
pia mafisadi wana hela ya wizi bana hawanunui kwa bei ndogo hivyo kaaaaaaaaaa

Msaliti ni Porokwa mwenyewe, hana msimamo hivyo Kubenea awe makini naye sana, mkitaka kujua mambo ya Porokwa na unafiki wake jaribuni kuwatafuta waliokuwa viongozi wa ccj mkoa wa Arusha mtajua mambo yote.
 
Mkubwa katika hili umetuongopeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mchana kweupe. Kubenea hawezi kukubali ajira ya RA fisadi, na kuacha ajira ya Watanzania. Tunamuombea Kube, na akitusaliti vilio vyetu dhidi ya mafisadi vitamlaani. Anajuaaaaaaaaaaaaaaaaa
HTML:
Kubenea kakubali dili hilo ambalo tayari limemwingizia zaidi ya sh. milioni 20.
Milioni 20 ndio iuze uhuru wa mtu anayeheshimika na jamii?..Kwani angeshindwa kupata fedha hiyo kwa mtu msafi?
 
porokwa kapewa pesa kala mwenyewe wakati sisi ndio tuliomfanyia kampeni na kumlinda hapa mjini arusha akiwa anaishi kwa mifuko yetu? Basi hafai maana yeye ndiye aliyetumwa kuanzisha ccj hapa arusha akawaingiza watu fulani hasara ya ajabu kabisa, baada ya kuutosa ubunge akatutoroka kabisa, tutamkamata na siri zake tunazo maana sisi ndio tuliombeba.

kubenea anawashughulikia wote tu magamba mapya na ya zamani.mbona wakati wanawaandika hyayo magamba ya zamani ninyi wapya hamkujitokeza kusema leo yamewashinda ndio mnatafuta kubenea awasidie.
Kubenea twanga kotekote hakuna cha gamba jipya wala la kisasa twanga tu.
 
unajua gari anayotembelea kubenea kwa sasa kakopeshwa na nani? ntawaletea kopi ya nakala endeleeeni kushabikia mwanahalisi na mwananchi bt wiki 3 zijazo mtaamin lakn tatizo letu kubwa cc jf hatatukiweka nakala ya hongo aliyopewa mtaleta hoja ingine ooo waache walolala walale
 
Hatuwezi kupuuza taarifa tuhuma hizi ni nzito!lkn em tusubiri ni lipi kati ya uliyosema liaanza kujitokeza
 
Lampadi Asimtishie Kubenea na Nyau!
Kubenea ni Mtu Makini naamini kama ataona alichosema Ole Porokwa kina mashiko na Kinauzito kwenye Hoja ya Wasaliti 'Fresh'Lazima amwage wino tena kwa Msisitizo!
Mtu Msaliti na Kigeugeu hafai kuwa kiongozi!Usiku CCJ mchana CCM!Mwishoo!
Fisadi yoyote akitoa hela ichukuliwe ili isaidie mapambano ila wembe ni ule ule!
Jambo la kutilia Maanani ni kwamba Ufisadi ni kitu endelevu na unatafuna nchi kwa ajili ya usaliti,unafiki,tamaa na Uongo!Kila mtz awajibike mahala pake kuanzia kitongoji hadi Taifa
Vinginevyo itakuwa Kibwagizo cha Taarabu!
 
Kubenea Namwani!Na Asitishiwe Nyau
Makala zake Zote huwa si za Kumfurahisha Mtu wala Kufata Mkumbo!Bali ni za Kukosoa au kufafanua jambo katikaka maana Halisi na ndio maana ya kuwa Mwanahalisi!
Hapa Issue ni Je Kila Mtu aaminiwe kwa kila Jambo hata kama Usiku ni CCJ mchana CCM!
Watu wa namna hii ni wakuogopwa kama 'Kipindupindu' Kwani wanasura mbili!Moja ya Usiku na Nyingine ya mchanna
Watu wasaliti hawafai pewa Daraka la nchi!
 
Mkuu

Mbona sisi tulikuwa tunajua kuhusu uhusiano wa RA na SK zaidi ya mwaka sasa? Hizi si habari mpya hizi! Kuwa makini zaidi! LOL
 
Yani we mleta hii mada zoba kweli...!! Kubenea tunakuomba j5 habari ya Porokwa na CCJ wenzake kina 6 uwape coverage ya kutosha katika gazeti letu mwanahalisi.
 
Hii ni saikologia nyepesi; huyu jamaa ametumwa ili amfanye Kubenea asiwandike hao aliowataja kwa kuhofu kuwa akiwaandika atakuwa anatekeleza au kuthibitisha tuhuma. Ukweli utabakia kuwa yeyote ambaye si- mwadilifu ajiandae kusomwa kwenye Mwanahalisi na mambo yake yatawekwa wazi tu. Hakuna wakuonewa haya, wala wa kupendelewa, wala atakaye weza kumnunua Kubenea. Kubenea angekuwa wa kununuliwa angeshanunuliwa zamani sana. Hilo hata R.A na wenzake wote wanalijua. Ushauri wangu kwa uliyetumwa kuandika haya, waambie wahusika waache usanii, na uabadhilifu wa mali za umma, na walitumikie taifa letu kwa uaminifu. Habari zao zitasomwa na wao watapongezwa, vinginevyo wajiandae kuanikwa uovu wao.
 
Nyie CDM huyu RA mnaemtetea sasa hivi kwa ajili ya hivyo vijisent vyake muda si mrefu mmtajuta kumbukenei ya kwamba magazeti yanayomilikiwa na RA ndiyo yaliyokuwa yanaandika ya kuwa CDM wanawakilisha kanisa katoliki, mara CDM ni chagga deve.Manif, yote haya mmesasahau kwa ajili ya faida ya muda mfupi hii ndoa yenu na RACHEL lazima itakula kwenu
 
Tusibiri hiyo jumatano kama yalisomwa na huyu mwanajimii ni ya kweli"allways the end will tell the truth".
 
Mbowe na slaa wote ni njaa tu, sasa wamepata mbulushi mwenye pesa, lazima watamsujudia.
 
Mambo mambo! Mambooeeeee, mambo wiski soda mambo mambo, kwayayaaaaa! Yaayaaaa kwa yaayaaaaaaa! Aahaaaa, aaaaahaaaa
 
uongo mtupu kubenea nnaemjua hawezi fnya hvyo kama kukubali angekubali mabilioni ya hela aliyokua akitaka kupewa ili aachane na habari za richmond,i knw him dhamira yake hawezi fnya maana anachopigania sio kwa faida yke ni vizazi kwa vizazi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom