Elections 2010 Kubenea huwa habaatishi kama Shy afikiriavyo

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
ukitaka kujua kuwa Mr kubenea habaatishi habari zake hebu jiabarishe na hii habari hapa chini

Mwanasheria Mkuu akutwa kambi ya CCM

picture-4.jpg

Na Saed Kubenea - Imechapwa 20 October 2010

Gumzo la Wiki

werema_211.jpg

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema “amejitosa” katika kampeni za mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete.
Hii ni mara ya kwanza kwa mwanasheria mkuu wa serikali nchini kuopnekana waziwazi kuegemea chama kimoja cha siasa wakati wa uchaguzi.
Tarehe 1 Oktoba 2010, Werema aliwasilisha kwa mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mashitaka akituhumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa kimetoa “kauli zinazochochea chuki dhidi ya serikali na taifa.”
Kilichomsukuma Werema kushitaki CHADEMA ni kile alichoita, “kauli ya uchochezi” iliyotolewa na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.
Anasema Mbowe akiwa pamoja na mgombea urais wa chama chake, Dk. Willibrod Slaa wamenukuliwa wakisema serikali na CCM imesambaza maofisa wa idara ya usalama wa taifa nchi mzima “kumtafutia ushindi bandia Kikwete.”
Kinachofahamika ni kuwa Werema hajasukumwa na uzalendo kama vyombo vya habari vilivyomnukuu akisema; bali amesukumwa na utashi binafsi wa kisiasa.
Hata kabla Dk. Slaa hajatangazwa na chama chake kuwa mgombea urais, tayari Werema alishusha tuhuma nzito kuwa Slaa ameanza kampeni mapema.
Werema anayejitapa kuwa amesukumwa na uzalendo, ameshindwa kumshitaki Kikwete kwa Kamati ya Maadili kwa tuhuma za kukiuka taratibu za uchaguzi.
Si mara moja wala mbili, vyombo vya habari vya ndani na nje, vimeripoti kuwa Kikwete amekuwa akiendesha mikutano ya kampeni nje ya muda uliowekwa na sheria.
Katika baadhi ya maeneo, mikutano yake iliendelea hadi saa moja usiku. Pale malalamiko yalipowasilishwa NEC, Werema hakusikika kuyaunga mkono.
Hata uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa kuongeza muda wa kampeni kutoka saa 12 kamili hadi saa moja usiku, uliolenga kumkinga Kikwete, haukupingwa na Werema. Ulipingwa na NEC.
Wala Werema hajamfikisha mbele ya Kamati ya Maadili na hata mahakamani, mke wa Kikwete, Mama Salma Kikwete anayekabiliwa na tuhuma za kutumia rasilimali za taifa kumpigia kampeni mumewe.
Tangu kuanza kwa kampeni, 21 Agosti mwaka huu, Mama Salma amekuwa akiranda nchi mzima kwa kutumia kodi za wananchi kumfanyia kampeni mume wake.
Vilevile, Werema ameshindwa kumfikisha mbele ya Kamati ya Maadili mtoto wa Kikwete, Ridhiwani Jakaya Kikwete kwa kuzunguka nchi mzima kumfanyia kampeni baba yake.
Tuhuma za Ridhiwani zinajikita katika kutumia fedha ambazo hazijulikani chanzo chake. Wala haijulikani wanaomfadhili Ridhiwani wana lengo gani.
Je, fedha anazotumia hesabu zake zitawasilishwa pia kwa msajili wa vyama kama sheria mpya ya gharama za uchaguzi inavyosema? Ikiwa atawasilisha, ni kwa njia ipi? Yeye ni nani? Mpambe wa mgombea?
Jingine ambalo Werema ameshindwa kulisimamia hata kulikemea, ni hatua ya Kikwete na chama chake kutumia maofisa wa serikali katika kampeni.
Wengi waliopo katika msafara wa Kikwete, kuanzia waratibu safari za mgombea, waandika hotuba, wapanga mkakati wa ushindi, walinzi wa viongozi, ama ni wafanyakazi kutoka ikulu, au idara nyingine za serikali.
Hata baadhi ya matangazo ya kumnadi Kikwete na chama chake yamelipiwa kwa fedha za serikali na mengine yametumia rasilimali za umma kuyafanikisha.
Hatua ya Werema basi, ya kujitumbukiza katika uchaguzi kwa kuegemea upande mmoja, inathibitisha madai ya wengi, kwamba “uchaguzi umeshafanyika na mshindi ameshapatikana.”
Nani anaweza kuthibitisha kwamba madai ya Mbowe na Dk. Slaa kwamba maofisa usalama wa taifa hawakumwaga mikoani yalikuwa ya uongo?
Nani anaweza kusema kuwa hatua ya Mbowe na Dk. Slaa kufichua kile walichoita, “Njama za kuchakachua matokeo” kitasababisha machafuko?
Kwa Werema kushindwa kuthibitisha hilo; ndiyo msingi wa kushindwa kupeleka mahakamani Mbowe na Dk. Slaa; badala yake amekimbilia NEC kutaka kuwadhoofisha kisiasa.
Kama mwanasheria mkuu wa serikali anaweza kuthibitisha madai haya, kwa nini hajaagiza mkurugenzi wa mashitaka ya jinai (DPP) kupeleka watuhumiwa mahakamani?
Ni kwa sababu, Werema anajua kuwa Mbowe na Dk. Slaa hawana kesi ya kujibu kwa kuwa hakuna kosa walilotenda. Alicholenga ni kudhoofisha CHADEMA na Dk. Slaa binafsi.
Anataka Dk. Slaa ashindwe kuzungumzia tuhuma dhidi ya serikali na Kikwete.
Kwa mfano, anataka Dk. Slaa asizungumzie tena wizi katika Benki Kuu ya Taifa (BoT), badala yake akili yake ijikite katika kesi bandia iliyofunguliwa NEC.
Anataka Dk. Slaa adhoofike ili atupe hoja yake ya miaka mingi ya kutaka serikali ifikishe mahakamani, mmiliki wa kampuni ya Kagoda ambayo ni moja ya makampuni yaliyokubuhu katika wizi BoT.
Malalamiko ya Werema yamelenga kuziba mdomo wa Dk. Slaa ili asieleze jinsi serikali ilivyoweka mbele anasa na kuacha kusimamia maendeleo.
Anataka asieleze juu ya rushwa iliyokithiri katika vyombo vya kutunga sheria. Asizungumzie waastafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao madai yao sasa yamekuwa donda ndugu.
Kabla ya Werema kufungua kesi, angekemea CCM kwa kugeuza siasa kuwa mradi wa biashara. Angesema, ni kinyume cha sheria mpya ya gharama za uchaguzi.
Kwamba mabango ya Kikwete yaliyotapakaa nchi mzima yametumia kiasi kikubwa cha fedha, ukilinganisha na zile zilizoruhusiwa na sheria ya uchaguzi.
Sheria ya uchaguzi inaruhusu kila chama kutumia si zaidi ya Sh. 15 bilioni kwa ajili ya kujitangaza. Lakini tayari mabango ya Kikwete, hata kwa kuyaangalia kwa macho, yamezidi kiasi hicho cha fedha. Ameshindwa kufanya hivyo!
Je, nani aliyetufikisha hapa? Jibu ni moja. Ni Kikwete na chama chake. Kwanza, ni kutokana na hatua yake ya kupitisha na kusaini sheria ya Gharama za Uchaguzi hata bila kuisoma.
Sheria hiyo ndiyo iliyomuingiza mwanasheria mkuu wa serikali katika mchakato wa uchaguzi kupitia kile kinachoitwa, “maadili ya uchaguzi ya mwaka 2010 kwa wagombea udiwani, wabunge na rais.”
Kiherehere cha Kikwete cha kusaini sheria hiyo “bila kuisoma,” ndiyo chimbuko la kuingiza mwanasheria mkuu wa serikali katika mchakato wa uchaguzi.
Kuingiza mwanasheria mkuu wa serikali katika mchakato wa kuendesha uchaguzi, kusimamia uchaguzi, kufungua mashitaka dhidi ya mgombea mmoja au chama kimoja, katika kipindi hiki cha kampeni, ni kinyume cha utawala bora. Je, ataegemea wapi?
Kuingiza katika mchakato wa uchaguzi katika hatua hizi za awali, mwanasheria mkuu wa serikali, kufungua mashitaka na kuruhusu kuweka pigamizi dhidi ya mgombea fulani, kutamfanya kuonekana kuwa yupo upande mmoja na hivyo kuathiri zoezi zima la malalamiko baada ya uchaguzi.
Kwa mfano, wapo watakaohoji: Iwapo mwanasheria mkuu wa serikali alishiriki katika kushitaki mgombea wa CHADEMA, wabunge wa chama hicho watakaofunguliwa kesi baada ya uchaguzi, watamuamini vipi?
Wale watakaoshindwa na kulalamika kuwa haki haikutenda, watakuwa katika kundi gani?
Kimsingi madhara ya sheria ya Kikwete ni makubwa mno, kuliko mafanikio. Ni katika sheria hii, sasa uchaguzi umekabidhiwa kwa mamlaka tatu – NEC, msajili wa vyama vya siasa na mwanasheria mkuu wa serikali.
Kwa mujibu wa sheria hii, msajili amepewa mamlaka ya kuondoa mgombea yeyote katika kipindi hiki cha kampeni.
Anaweza, kama anataka, kumsimamisha mgombea yeyote kufanya kampeni, kufuta chama chochote cha siasa wakati wowote; bila kushauriana na yeyote na bila kulazimika kutoa sababu.
Utata wa sheria hii, ni kule kushindwa kufuta mamlaka ya msajili wa vyama vya siasa ya kusajili, au kutosajili, au kukiondoa chama chochote cha siasa katika daftari lake, tena bila kulazimika kutoa sababu.
Sheria hii ya kale, inampa mamlaka msajili kukifuta chama chochote ambacho yeye kwa maoni yake, ataridhika kuwa hakikidhi matakwa ya sheria. Hapa msajili wa vyama vya siasa, hakika anatenda kazi za mahakama.
Mapungufu haya ya sheria na mengine, ndiyo msingi wa baadhi yetu kuunga mkono upatikanaji wa katiba mpya.
Katiba mpya ndiyo itakayomuondoa mwanasheria mkuu wa serikali katika mchakato wa uchaguzi.
Katiba mpya itamuondolea Tendwa nguvu ya kuumba na kuhuisha. Katiba itafanya watawala kuheshimu wananchi.
Lakini katika hali ya sasa, kila kitu kinakwenda shaghalabaghala.
Kwa mfano, hicho kinachoitwa, “Kamati za ulinzi na usalama” ambazo zilimwopoa kutoka kambini hadi uraiani, Luteni Jenerali Abdulrahaman Shimbo, hazionekani katika katiba ya Jamhuri?
Kazi zake hazifahamiki. Mamlaka yake hayajulikani. Lakini zipo na zimetapakaa kila kona. Baadhi ya wajumbe wake ni makada wa CCM.
Katika mazingira haya, wawakilishi wa upinzani wanapata wapi fursa ya kujua kinachotendeka?
Kama kamati za ulinzi na usalama katika ngazi ya wilaya zinasimamiwa na wakuu wa wilaya, nafasi ya kinachoitwa “uwanja sawa wa uchaguzi” kinatoka wapi?
 
ukitaka kujua kuwa mr kubenea habaatishi habari zake hebu jiabarishe na hii habari hapa chini

mwanasheria mkuu akutwa kambi ya ccm

picture-4.jpg

na saed kubenea - imechapwa 20 october 2010

gumzo la wiki

werema_211.jpg

mwanasheria mkuu wa serikali, jaji frederick werema "amejitosa" katika kampeni za mgombea urais wa chama cha mapinduzi (ccm), jakaya kikwete.
Hii ni mara ya kwanza kwa mwanasheria mkuu wa serikali nchini kuopnekana waziwazi kuegemea chama kimoja cha siasa wakati wa uchaguzi.
Tarehe 1 oktoba 2010, werema aliwasilisha kwa mwenyekiti wa kamati ya maadili ya tume ya taifa ya uchaguzi (nec) mashitaka akituhumu chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kuwa kimetoa "kauli zinazochochea chuki dhidi ya serikali na taifa."
kilichomsukuma werema kushitaki chadema ni kile alichoita, "kauli ya uchochezi" iliyotolewa na mwenyekiti wa chama hicho, freeman mbowe.
Anasema mbowe akiwa pamoja na mgombea urais wa chama chake, dk. Willibrod slaa wamenukuliwa wakisema serikali na ccm imesambaza maofisa wa idara ya usalama wa taifa nchi mzima "kumtafutia ushindi bandia kikwete."
kinachofahamika ni kuwa werema hajasukumwa na uzalendo kama vyombo vya habari vilivyomnukuu akisema; bali amesukumwa na utashi binafsi wa kisiasa.
Hata kabla dk. Slaa hajatangazwa na chama chake kuwa mgombea urais, tayari werema alishusha tuhuma nzito kuwa slaa ameanza kampeni mapema.
Werema anayejitapa kuwa amesukumwa na uzalendo, ameshindwa kumshitaki kikwete kwa kamati ya maadili kwa tuhuma za kukiuka taratibu za uchaguzi.
Si mara moja wala mbili, vyombo vya habari vya ndani na nje, vimeripoti kuwa kikwete amekuwa akiendesha mikutano ya kampeni nje ya muda uliowekwa na sheria.
Katika baadhi ya maeneo, mikutano yake iliendelea hadi saa moja usiku. Pale malalamiko yalipowasilishwa nec, werema hakusikika kuyaunga mkono.
Hata uamuzi wa msajili wa vyama vya siasa nchini, john tendwa kuongeza muda wa kampeni kutoka saa 12 kamili hadi saa moja usiku, uliolenga kumkinga kikwete, haukupingwa na werema. Ulipingwa na nec.
Wala werema hajamfikisha mbele ya kamati ya maadili na hata mahakamani, mke wa kikwete, mama salma kikwete anayekabiliwa na tuhuma za kutumia rasilimali za taifa kumpigia kampeni mumewe.
Tangu kuanza kwa kampeni, 21 agosti mwaka huu, mama salma amekuwa akiranda nchi mzima kwa kutumia kodi za wananchi kumfanyia kampeni mume wake.
Vilevile, werema ameshindwa kumfikisha mbele ya kamati ya maadili mtoto wa kikwete, ridhiwani jakaya kikwete kwa kuzunguka nchi mzima kumfanyia kampeni baba yake.
Tuhuma za ridhiwani zinajikita katika kutumia fedha ambazo hazijulikani chanzo chake. Wala haijulikani wanaomfadhili ridhiwani wana lengo gani.
Je, fedha anazotumia hesabu zake zitawasilishwa pia kwa msajili wa vyama kama sheria mpya ya gharama za uchaguzi inavyosema? Ikiwa atawasilisha, ni kwa njia ipi? Yeye ni nani? Mpambe wa mgombea?
Jingine ambalo werema ameshindwa kulisimamia hata kulikemea, ni hatua ya kikwete na chama chake kutumia maofisa wa serikali katika kampeni.
Wengi waliopo katika msafara wa kikwete, kuanzia waratibu safari za mgombea, waandika hotuba, wapanga mkakati wa ushindi, walinzi wa viongozi, ama ni wafanyakazi kutoka ikulu, au idara nyingine za serikali.
Hata baadhi ya matangazo ya kumnadi kikwete na chama chake yamelipiwa kwa fedha za serikali na mengine yametumia rasilimali za umma kuyafanikisha.
Hatua ya werema basi, ya kujitumbukiza katika uchaguzi kwa kuegemea upande mmoja, inathibitisha madai ya wengi, kwamba "uchaguzi umeshafanyika na mshindi ameshapatikana."
nani anaweza kuthibitisha kwamba madai ya mbowe na dk. Slaa kwamba maofisa usalama wa taifa hawakumwaga mikoani yalikuwa ya uongo?
Nani anaweza kusema kuwa hatua ya mbowe na dk. Slaa kufichua kile walichoita, "njama za kuchakachua matokeo" kitasababisha machafuko?
Kwa werema kushindwa kuthibitisha hilo; ndiyo msingi wa kushindwa kupeleka mahakamani mbowe na dk. Slaa; badala yake amekimbilia nec kutaka kuwadhoofisha kisiasa.
Kama mwanasheria mkuu wa serikali anaweza kuthibitisha madai haya, kwa nini hajaagiza mkurugenzi wa mashitaka ya jinai (dpp) kupeleka watuhumiwa mahakamani?
Ni kwa sababu, werema anajua kuwa mbowe na dk. Slaa hawana kesi ya kujibu kwa kuwa hakuna kosa walilotenda. Alicholenga ni kudhoofisha chadema na dk. Slaa binafsi.
Anataka dk. Slaa ashindwe kuzungumzia tuhuma dhidi ya serikali na kikwete.
Kwa mfano, anataka dk. Slaa asizungumzie tena wizi katika benki kuu ya taifa (bot), badala yake akili yake ijikite katika kesi bandia iliyofunguliwa nec.
Anataka dk. Slaa adhoofike ili atupe hoja yake ya miaka mingi ya kutaka serikali ifikishe mahakamani, mmiliki wa kampuni ya kagoda ambayo ni moja ya makampuni yaliyokubuhu katika wizi bot.
Malalamiko ya werema yamelenga kuziba mdomo wa dk. Slaa ili asieleze jinsi serikali ilivyoweka mbele anasa na kuacha kusimamia maendeleo.
Anataka asieleze juu ya rushwa iliyokithiri katika vyombo vya kutunga sheria. Asizungumzie waastafu wa iliyokuwa jumuiya ya afrika mashariki ambao madai yao sasa yamekuwa donda ndugu.
Kabla ya werema kufungua kesi, angekemea ccm kwa kugeuza siasa kuwa mradi wa biashara. Angesema, ni kinyume cha sheria mpya ya gharama za uchaguzi.
Kwamba mabango ya kikwete yaliyotapakaa nchi mzima yametumia kiasi kikubwa cha fedha, ukilinganisha na zile zilizoruhusiwa na sheria ya uchaguzi.
Sheria ya uchaguzi inaruhusu kila chama kutumia si zaidi ya sh. 15 bilioni kwa ajili ya kujitangaza. Lakini tayari mabango ya kikwete, hata kwa kuyaangalia kwa macho, yamezidi kiasi hicho cha fedha. Ameshindwa kufanya hivyo!
Je, nani aliyetufikisha hapa? Jibu ni moja. Ni kikwete na chama chake. Kwanza, ni kutokana na hatua yake ya kupitisha na kusaini sheria ya gharama za uchaguzi hata bila kuisoma.
Sheria hiyo ndiyo iliyomuingiza mwanasheria mkuu wa serikali katika mchakato wa uchaguzi kupitia kile kinachoitwa, "maadili ya uchaguzi ya mwaka 2010 kwa wagombea udiwani, wabunge na rais."
kiherehere cha kikwete cha kusaini sheria hiyo "bila kuisoma," ndiyo chimbuko la kuingiza mwanasheria mkuu wa serikali katika mchakato wa uchaguzi.
Kuingiza mwanasheria mkuu wa serikali katika mchakato wa kuendesha uchaguzi, kusimamia uchaguzi, kufungua mashitaka dhidi ya mgombea mmoja au chama kimoja, katika kipindi hiki cha kampeni, ni kinyume cha utawala bora. Je, ataegemea wapi?
Kuingiza katika mchakato wa uchaguzi katika hatua hizi za awali, mwanasheria mkuu wa serikali, kufungua mashitaka na kuruhusu kuweka pigamizi dhidi ya mgombea fulani, kutamfanya kuonekana kuwa yupo upande mmoja na hivyo kuathiri zoezi zima la malalamiko baada ya uchaguzi.
Kwa mfano, wapo watakaohoji: Iwapo mwanasheria mkuu wa serikali alishiriki katika kushitaki mgombea wa chadema, wabunge wa chama hicho watakaofunguliwa kesi baada ya uchaguzi, watamuamini vipi?
Wale watakaoshindwa na kulalamika kuwa haki haikutenda, watakuwa katika kundi gani?
Kimsingi madhara ya sheria ya kikwete ni makubwa mno, kuliko mafanikio. Ni katika sheria hii, sasa uchaguzi umekabidhiwa kwa mamlaka tatu – nec, msajili wa vyama vya siasa na mwanasheria mkuu wa serikali.
Kwa mujibu wa sheria hii, msajili amepewa mamlaka ya kuondoa mgombea yeyote katika kipindi hiki cha kampeni.
Anaweza, kama anataka, kumsimamisha mgombea yeyote kufanya kampeni, kufuta chama chochote cha siasa wakati wowote; bila kushauriana na yeyote na bila kulazimika kutoa sababu.
Utata wa sheria hii, ni kule kushindwa kufuta mamlaka ya msajili wa vyama vya siasa ya kusajili, au kutosajili, au kukiondoa chama chochote cha siasa katika daftari lake, tena bila kulazimika kutoa sababu.
Sheria hii ya kale, inampa mamlaka msajili kukifuta chama chochote ambacho yeye kwa maoni yake, ataridhika kuwa hakikidhi matakwa ya sheria. Hapa msajili wa vyama vya siasa, hakika anatenda kazi za mahakama.
Mapungufu haya ya sheria na mengine, ndiyo msingi wa baadhi yetu kuunga mkono upatikanaji wa katiba mpya.
Katiba mpya ndiyo itakayomuondoa mwanasheria mkuu wa serikali katika mchakato wa uchaguzi.
Katiba mpya itamuondolea tendwa nguvu ya kuumba na kuhuisha. Katiba itafanya watawala kuheshimu wananchi.
Lakini katika hali ya sasa, kila kitu kinakwenda shaghalabaghala.
Kwa mfano, hicho kinachoitwa, "kamati za ulinzi na usalama" ambazo zilimwopoa kutoka kambini hadi uraiani, luteni jenerali abdulrahaman shimbo, hazionekani katika katiba ya jamhuri?
Kazi zake hazifahamiki. Mamlaka yake hayajulikani. Lakini zipo na zimetapakaa kila kona. Baadhi ya wajumbe wake ni makada wa ccm.
Katika mazingira haya, wawakilishi wa upinzani wanapata wapi fursa ya kujua kinachotendeka?
Kama kamati za ulinzi na usalama katika ngazi ya wilaya zinasimamiwa na wakuu wa wilaya, nafasi ya kinachoitwa "uwanja sawa wa uchaguzi" kinatoka wapi?

Mwanasheria anapatikanaje?
 
achana na nafasi yake bado ni mtanzania pia ana haki ya kuwasilisha shitaka loh..
 
Watanzania si ndio tulivyo, twawanyenyekea waliotutue tukidhani ni zawadi, kama wafanya kazi yako kwa mujibu wa sheria hakuna wa kukutoa, ..... Ngoja dr slaa abadili katiba, kama ndio tatizo, tumpe kula za ndi slaaaaaaa
 
Si ndiyo huyu mwanasheria alipochaguliwa alisemekana alimwmbia JK kuwa yeye hana chama?? Au haya tunayoyasikia sasa ni sehemu ya kazi yake??
 
Asante bro S. KUBENEA kwa kutumia aliyokujalia Mungu kutupa "habari za ukweli na kina" zinazoihusu Tz. God bless uzidi kungaa hata waliokumwagia tindikali waje kutubu wenyewe!
 
kama haya yanayosemwa ni kweli basi huyu mwana sheria mkuu lazima ajiuzulu!
sio sawa kabisa kwa mtu muhimu serikalini kama yeye kuonekana kwenye majukwaa ya siasa. ni sawa na kumuona General mwamunyange au jaji Augustino Ramadhani kwenye jukwaa la siasa, hakuna tafauti kabisa.
 
Duh, bongo hakuna kujiuzulu mpaka iwe noma sana. Mbona hilo dogo tu.
 
Jamani sheria au katiba inasemaje kuhusu mfanyanyakazi wa serikali kujihusisha na siasa?
Werema ni mwajiriwa wa serikali huyu.Sasa anaposhabikia chama fulani si anaonekana kabisa ameenda nje ya utaratibu??

Hivi ikitokea kuwa Dr. Slaa ndiye atakuwa Rais wa nji hii ,Werema atakimbilia wapi? Majitu mengine bwana sijui yanapewaje madaraka!
Jitu lina IQ ya kuku kabsa!!!!!
 
Back
Top Bottom