Kubemendwa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,831
Waungwana naomba msaada wenu juu ya hili neno,
silielewi, lakini nimepata mtoto sasa ni mwezi wa nne umepita tangu alipozaliwa,
mama yake ananinyima unyumba kwa madai kuwa nitambemenda mtoto..
Mtoto hatakuwa na nguvu, atakuwa na meno yenye mpangilio mbaya, atachelewa kutembea, nywele zitakuwa nyekundu na pia huwa ananiambia mtoto atakuwa zezeta,
je kuna uhusiano gani wa kisayansi kati ya maisha yangu ya ndoa na kuharibika kwa mtoto?
Naombeni msaada ndugu zanguni
 
Mi naonaga ni mapokeo tuu though sijawai prove ila ni vyema ukayatii
 
Kubemenda mtoto ni matokeo ya mama anayenyonyesha kupata mimba angali hajaacha kunyonyesha, na hivyo kusababisha maziwa ya mama kuharibika na kuwa si salama kwa matumizi ya mtoto. Na akiendelea kunyonyesha mtoto atakuwa ananyonya sumu inayoathiri afya yake inoyojidhihirisha kwa alama mbalimbali km kuharisha, nywele kuwa laini nk.
 
Nakushauri utumie njia salama za kuhakikisha kuwa mkeo apati ujauzito mpaka mtoto akifikisha miaka miwili.
 
Waungwana naomba msaada wenu juu ya hili neno,
silielewi, lakini nimepata mtoto sasa ni mwezi wa nne umepita tangu alipozaliwa,
mama yake ananinyima unyumba kwa madai kuwa nitambemenda mtoto..
Mtoto hatakuwa na nguvu, atakuwa na meno yenye mpangilio mbaya, atachelewa kutembea, nywele zitakuwa nyekundu na pia huwa ananiambia mtoto atakuwa zezeta,
je kuna uhusiano gani wa kisayansi kati ya maisha yangu ya ndoa na kuharibika kwa mtoto?
Naombeni msaada ndugu zanguni
kwakeli no diea about that, but what i have heard is possible (kubemenda) if a woman who have a little baby doing sex with a man whom is NOT his husband!! but for a married couple there is no such effect, chapa tu asikunyime haki yako ya ndoa!
 
Huyo mama anao washauri wa mitaani wanaompotosha. Mweleze daktari wake ambaye atampa ushauri wa kisayansi kuhusu suala zima la kujamiiana wakati mama ananyonyesha. Kinachotakiwa hapo ni kujithidi asipate mimba kabla ya wakati mwafaka! Otherwise unachapa tu.
 
tsup there,though an knew in JF,but I think bubemenda mtoto is wen mwanamke anapoanza mahusiano na mtu mwingine tofauti na baba wa mtoto,akitoka kwenye mahanjumati huko bila kufanya usafi wa kutosha anamshika mtoto na kumnyonyesha thats wn bemenda thing starts.
 
wakuu hili neno kubemenda kisayansi linaitwaje, tafadhali msaada kwa anayejua.
 
Waungwana naomba msaada wenu juu ya hili neno,
silielewi, lakini nimepata mtoto sasa ni mwezi wa nne umepita tangu alipozaliwa,
mama yake ananinyima unyumba kwa madai kuwa nitambemenda mtoto..
Mtoto hatakuwa na nguvu, atakuwa na meno yenye mpangilio mbaya, atachelewa kutembea, nywele zitakuwa nyekundu na pia huwa ananiambia mtoto atakuwa zezeta,
je kuna uhusiano gani wa kisayansi kati ya maisha yangu ya ndoa na kuharibika kwa mtoto?
Naombeni msaada ndugu zanguni

Tendo la ndoa pekee, kimsingi haliwezi kuwa na madhara kwa mtoto. Hata hivyo ni vema kuzingatia usafi. Watoto wachanga wapo vulnerable sana kwa uchafu na vitu vingine vinavyoweza kuleta maambukizi.

Kwa kadri nijuavyo mimi, wanandoa wengi hujaribu kuavoid kukutana kimwili miezi mitatu ya mwanzo baada ya mama kujifungua. Katika kipindi hiki, utaratibu wa kila mwezi wa mama unakuwa haujatengamaa na hivyo mimba isiyotarajiwa inaweza kutokea endapo mtakutana kimwili (bila kutumia kinga!).

Nakushauri mjifunze njia mbalimbali za kufanya mapenzi (bila intercopurse) na hapohapo kuridhishana. Hili litawasaidia si tu katika kipindi hiko cha kujifungua lakini hata mama anapokuwa mwezini au hata kama njia ya kupanga uzazi.
 
hapa manapiga story tu. Kubemendwa kitu gani? watu wanaanza kupiga game first month baada ya wife kujifungua bwana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom