Kubeba Maboksi na Adha ya Kuzimikia Wasagaji

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Majira ya kiangazi ndiyo yanazidi kukolea kwa wabeba maboksi. Hata hivyo mbeba maboksi mwanagenzi amegundua balaa lingine ukiacha lile la vinguo vifupi ambavyo ufupi wake unazidi kupindukia kadri joto linavyoongezeka! Sasa amegundua ni kazi ngumu sana kujua kama mabinti ni watokao na wanaume au ni watokao na wanawake wenzao. Zaidi ya mara moja amejikuta akimzimikia binti na kuvunjika moyo pale anapogundua kuwa ana rafiki wa karibu wa kike. Hebu fikiria binti mrembo uliyemzimikia na kupeana kitarehe anapokujulisha baada ya kukupa kumbatio la kukuaga kuwa tayari ana mtu maishani mwake ila mtu huyo sio rafiki wa kiume kisha anakuambia hilo mliache maana ni mjadala mwingine! Mtu unajuaje ilhali hawana tofauti na wanawake wengine - kama ni hereni wanavaa, kama ni sketi wanavaa, na kama ni mvuto wa kike nao wanao! Kweli safiri uone! Sijui Rais wa Wabeba Maboksi anakabilianaje na adha hii kuu? Au ameshakubali yaishe! Pengine yule Rais mwingine naye alikuwa sahihi kabisa aliposema liwa ule!
 
Wasagaji wana ukataji wao wa nywele dizaini hivi, ukiwa makini utawapitia mbali!.

Hao unaowaongelea ni wale wenye msimamo mkali wanaotaka kujitambulisha (to make a statement), naowaongelea mimi hawana tofauti kabisa na wanawake wengine (kumbuka kuna wasagaji wanaochanganya wanaume na wanawake).
 
Wasagaji wana ukataji wao wa nywele dizaini hivi, ukiwa makini utawapitia mbali!.

Yah,wana ukataji fulani hv,hapa pembeni ya kichwa,upande wa juu wa sikio,kama hatanyoa dizaini hyo kuna vibanio flani vya zambarau huwa wanavifunga staili flani hv,or wengine wana wananyoa kidogo hapa utosini,
chukua hatua,mchunguze girl uliekuwa nae isije kuwa uko na mwanauwe mwenzio kwa mwenzako!
 
MadameB na Yamo wameangalia kipindi cha ellen sana ndio maana wanatoa hizi hinti :) :). Kwa mtoa mada piga moyo konde and just move on, tafuta dada mwingine. wapo warembo str8 wengi tu.

N.B. lesbian asiyetaka kujionesha hatojulikana na yoyote
 
Hivi kuna msagaji asiyetaka kujionyesha kweli, wenyewe wanasema kutoka ndani ya closet!.
 
Kutwa kucha kuwaza chini tu, kaaaa.

Halafu tunataka maendeleo topics zetu kama si majungu ya kisiasa basi ni chini. Great sinkers indeed. Mara moja moja tu ndo ukute kitu sensible and technical.

Sasa mtu kakwambia ndiyo lifestyle yake hiyo unatakaje? Tukwambie na wewe utafute mwanamme mwenzako umlipizie kisasi?

Kuyataka myatake wenyewe, mkikutwa na visa msoviweza mtuletee sie, khaa.

Hivyo watoto wa kike na kinamama wote wanaotafuta mabwana we kila ukigusa unakutana na hao hao tu? Unawafuata gay bars ama sensors zako mbovu?
 
Angalia jukwaa, ni MMU.

Hadi ukaanze kuchunguza urefu wa nywele za kati na rula, mara unifunue sikio kujua kama nina style saa ngapi?

Lazima uuziwe mbuzi kwenye gunia.

I just wanna make sure wewe si mmoja wa wale anaowazungumzia jamaa mwenye siredi,that's all!Habari za Pasiansi?Huku mabatini mafuriko tu!
 
Hivi kuna msagaji asiyetaka kujionyesha kweli, wenyewe wanasema kutoka ndani ya closet!.
ninamaanisha kubadili tabia. watu hudhani gay/lesbian akijitangaza ndio anaanza kujionesha mf. lesbian kukata nywele au gay kuwa laini, mpenda vya bure, kuanza kuitwa 'anti fulani' etc. hii si hali halisi kwani wengi huendelea na maisha yao kikawaida kama walivyokuwa kabla ya kujitangaza. hawabadiliki na ukiambiwa fulani ni g/l unaweza usiamini. hii ni stereotype tu.
 
Sijui ni wasagaji wa pande zipi unaongelea lakini wale ninao wajua mimi hasa ambao wanajichukulia kama 'wanaume' mbona wanajulikana kwa kuwangalia tu,sababu they try to be like men,vitu kama vaaji yao,ongea yao na hata matendo yao.Cha kushangazi kwenye public toilet hawaendi kwa wanaume.Wale wanojichukulia kama 'wanawake' ndio tricky kidogo kuwagundua labda uwe pande hizo kwa muda mrefu kidogo.

All in all ni culture shock kwetu lakini bongo hayo mambo yamepamba moto pia
 
I ddnt know about the 'male' and 'female' lesbians na sijaenda hangouts zao kuwafahamu zaidi so i'll take your word on it. I think those are the ones following stereotypes, the majority dont so its difficult kuwatambua. nakuunga mkono inabidi ukae nao kwa muda to know them.
 
Back
Top Bottom