kubambikiwa mimba ulishawahi kujiuliza hivi!

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
Mambo ni vipi? mara nyingi imekuwa kawaida kwa wasichana kuwabambikizia mzigo usio wao wanaume,je huwa wanania nzuri? kama wewe ukigundua kati ya watoto 6 ulionao watatu siyo wako utachukua maamuzi gani?
 
Nenda kwa mkemia mkuu ukasome takwimu.Kila watoto watano mmoja paternity yake sivyo ndivyo.Mambo ya kawaida sana haya Mkuu,ndo maana wahaya wanasema siku mama yako akifariki shukuru maana dhahama ya kuambiwa 'bishanga sio baba yako' inakuwa haiwezekani tena.
 
Labda tuwaombe wadada wawe na huruma jamani, wasitubebeshe mizigo isiyo tuhusu!
 
hebu msitake kukimbia majukumu hapa, leeni hao watoto, si mlinanihii? ndo matunda ya kunanilihii huko
:tongue::lol:
 
heheheee, na je siku ukigundua kuwa watoto wote si wako na daktari akakuambia kuwa huna uwezo wa kumimbisha, sio wewe utakaekuwa wa kwanza kumwambia mkeo akufichie siri? Lol! wanaume kuweni wavumilivu banaaa
bombu hili suala halina uvumilivu bhana,ndo maana wanawake mkiletewa watoto tuliozaa nje hamuwez kuvumilia na unakuta mtoto katoka kama photocopy hata kukataa unashindwa kuweni waaminifu katika ndoa ukishindwa tumia condoms kujilinda na magonjwa na hao watoto,nawasilisha
 
Mambo ni vipi? mara nyingi imekuwa kawaida kwa wasichana kuwabambikizia mzigo usio wao wanaume,je huwa wanania nzuri? kama wewe ukigundua kati ya watoto 6 ulionao watatu siyo wako utachukua maamuzi gani?

Je polisi kuwapiga raia na kuwaua ni haki? ------ Kipima Joto ITV....... very creative.............
 
Mambo ni vipi? mara nyingi imekuwa kawaida kwa wasichana kuwabambikizia mzigo usio wao wanaume,je huwa wanania nzuri? kama wewe ukigundua kati ya watoto 6 ulionao watatu siyo wako utachukua maamuzi gani?

Nachukua wangu wa 3 hao wa 3 namwachia mama atafute baba wa hao watoto na ninamtimua nyumbani na hao watoto wa kambo
 
Na vipi halafu wewe ukigundua kuwa baba uliyekuwa unamwita baba siyo baba yako?

Umeona eeh? Mkuki eti ni kwa kitimoto tuu, hebu jaribu umdunge anayeitwa bin adamu. Inabidi kwanza tuangalie chanzo hasa cha kubambikwa ni nini na je suluhisho ni nini?
 
Nenda kwa mkemia mkuu ukasome takwimu.Kila watoto watano mmoja paternity yake sivyo ndivyo.Mambo ya kawaida sana haya Mkuu,ndo maana wahaya wanasema siku mama yako akifariki shukuru maana dhahama ya kuambiwa 'bishanga sio baba yako' inakuwa haiwezekani tena.

Haaahaaa! Umenichekesha sina mbavu....well, kama hakuna sababu, some of the things better avoid doing. DNA ina uzuri na ubaya wake pia na kusema kweli kwa mazingira haya tuliyonayo, kulea ni jukumu ambalo wazazi wanatakiwa walichukulie kwa akili na maarifa sana.
 
Hivi kweli mtu hujawahi kumdo anaweza kukubambikizia mtoto!? Acha kudo uone kama kuna mtu atakubambikizia mimba..
Halafu ukiacha ndio inakuwaje? Kwahiyo adhabu ya kudo ndio kupandikiziwa mtoto asiyekuwa wako?
 
Mambo ni vipi? mara nyingi imekuwa kawaida kwa wasichana kuwabambikizia mzigo usio wao wanaume,je huwa wanania nzuri? kama wewe ukigundua kati ya watoto 6 ulionao watatu siyo wako utachukua maamuzi gani?
Mimi nachukua watoto wote 6 halafu natimua mama yao!
 
Halafu hata mimi najishtukia huyu baba yangu siyo baba yangu mana ht sifanani nae!!! ninafanana na REGNALD MENGI mbhaaya.
 
heheheee, na je siku ukigundua kuwa watoto wote si wako na daktari akakuambia kuwa huna uwezo wa kumimbisha, sio wewe utakaekuwa wa kwanza kumwambia mkeo akufichie siri? Lol! wanaume kuweni wavumilivu banaaa
Kama mkewe anajua,asipojua hatamwambia!!!!!ha...haa...haaaa...!!!!
 
mambo poa,ni mambo ya kawaida mno,we kataa mimba tu hautopatwa na dhahama hiyo. Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom