Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
Mimi bado najiuliza jamani hili ni pepo ama alipitiwa ama ni tamaa tu ilimpitia suala la
mtoto wa rostam kukamatwa kwa kubaka mtoto wa mugabe.
Kuna wanaosema kijana alikuwa anatafuta kujulikana na dunia kwa tendo lile, anyway tuwaachie mahakama tusihukumu.
Sijui haya mambo wanakuwa na mapepo ama tamaa mbona wamejaa hivyo jamani ama
amemfananisha na mbongo akaona alazimishe.
shame rost