Kubaka siyo hatia kwetu!!

unaongelea WAHAYA, au kuna makabila mengine?

nadhani bado ipo hiyo as kuna watu wamejaribu bado kuwafanyia mabinti wa kihaya Dar, hata m boyfriend wahaya wanawafanyia wahaya sababu wanajua wazazi wanaelewa mchezo
 
lizzy mpenzi nimesingizia nini sasa,hilo jina au hawatafuri,na ile ya kumteka bint halafu mnaenda funga mbuzi nje ya nyumba ya bint inaitwaje mpenzi

Sikuwahi kujua Shosti.....itabidi niulize na mimi nijue!!!
 
Kakakiiza ile picha yako ya kwanza tulikuwa tunaiogopa sasa hii sijui kama utapata mwenza kabla ya mwaka kwisha kama ulivyosema.
 
Miaka ya nyuma ilikuwa si issue na neno kubaka lilikuwa halisikiki mara kwa mara, siku hizi huko ni kubaka hakuna cha mila wala desturi hapo
 
Back
Top Bottom