Kubadilishana simu.

emkey

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
728
136
Wanajf,
habari za,' majukumu? nina simu aina ya samsung gt-s5233a, ipo vzri kabisa bila dosari yoyote. ningependa kubadilishana na member yeyote mwenye simu aina ya nokia E-5, nokia E-6. Au kama utakuwa na nokia C-7 nitakupa hii samsung pamoja na shs 50,000/= cash. Ila hiyo nokia isiwe na dosari yoyote. Contact zangu 0714-408238 na 0759-401230 tufikie muafaka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom