Kubadilishana simu

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
534
81
Habari wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika,NAOMBA MTU YEYOTE MWENYE NOKIA ASHA DUAL,NOKIA E-5,E-6,X2,HATA BLACK BERRY CURVE TUBADILISHANE NA NOKIA C2-OO,NITAKUONGEZEA KIASI FULANI CHA PESA UTAKACHOHITAJI ILAIWE KATIKA HALI NZURI MAANA YA KWANGU NILINUNULIWA LAST WEEK NA MZEE SEMA TU SIIPENDI NA UWEZO WA KUNUNUA SIMU MPYA KAMA HIZO SINA ILA NI MPYA KABISA.NASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU
NAMBA YANGU NI 0715404808 AU 0786404808.NIPO DAR ES SALAAAM.
 
Aliyekununulia umemuambia?...kama bado ni bora umpe taarifa anaweza kuwa na best option for you kuliko kuibadilisha kimya kimya.
 
nishamwambia mkuu sema anadai kwa sasa hawezi tena rudi mfukoni kwake kuninununlia simu nyingine maana hata wakati anainunua hajaniambia nilitoka zangu SKULI nikakuta simu naanmbiwa ya kwangu sema nikawa sina cha kufanya ila kuchukua ila ki-ukweli siifagilii kabisaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom