Kubadilisha US Dollar

Bonge

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
1,118
876
Naomba msaada kama kuna mwanajamii yeyote anayejua mahali/benki wanapokubali kubadilisha US Dollar za mwaka 1999. Kila duka na benki nayoenda wanasema hawabadilishi za 19xx.
 
Back
Top Bottom