Kubadilisha Leseni za magari.

God bell

JF-Expert Member
May 13, 2011
590
210
Ndugu wana JF hebu tulijadili hili la kubadilisha leseni. Nasikia unaenda kozi ya wiki2 na unalipa laki 2. Nauliza kuna nini kipya huko? Halafu hii laki2 ya nini kama siyo kutunyanganya haki zetu. Au ndo tunafidia madeni ya nchi? Dreva hiace atatoa wapi hiyo laki2? Je dreva aliendesha gari miaka 20 anaenda kozi ya nini? Nawasilisha.
 
We unafulahi jinsi raia wanavyokatwa mikono,miguu kwa ajali nini.Fikili mara 2 kabla ya kuweka mada km hii!
 
Kwani kipindi cha kampeni yale mabango yaliyokua yanauza sura ya raisi wako nchi nzima hujui kama ndio unatakiwa kulipa kwakupitia hizo leseni mkuu?
 
Back
Top Bottom