Kubadili muziki JF

Status
Not open for further replies.

Mwanjelwa

JF-Expert Member
Jul 29, 2007
956
145
Ni muda sasa tumekuwa tukisikiliza musiki uile ule hapa JF kwenye Bongoflava/zilipendwa/injili. Je si muda mwafaka sasa kubadili au ku-update list kulingana na wakati uliopo?
 
Ni muda sasa tumekuwa tukisikiliza musiki uile ule hapa JF kwenye Bongoflava/zilipendwa/injili. Je si muda mwafaka sasa kubadili au ku-update list kulingana na wakati uliopo?
Umesomeka, tutajitahidi kuongeza nyimbo zaidi. Au tubadili kabisa?
 
Umesomeka, tutajitahidi kuongeza nyimbo zaidi. Au tubadili kabisa?

Kwa maoni yangu ni afadhali kuongeza nyimbo zaidi ila ziwekewe alama ya kuwa ni new addition kama inawezekana kwani kuongeza bila kuweko kijulisho kuwa zimeongezwa haitakuwa rahisi kwa wengi kujua kama nyimbo zimeongezwa au kuwe na windows zaidi za kuonyesha kwa kuanzia zilizopo sasa hivi kwa kuwa ndo zilikuwa za kwanza tuite Zilipendwa/bongo fleva/injili No 1 na zifatie Zilipendwa/bongo fleva/injili No 2 etc
 
Kuongeza nyimbo zaidi hasa zile za wanamuziki wanaotamba kwa sasa katika chat mbalimbali especial BONGOFLEVA.
Zilipendwa nyingine kuzipata kazi kwelikweli. Bongo Flava zinapatikana kwa sana tu, Nyimbo za Injili nazo zipo nyingi sana tu, lakini Taarab ni kubwa sana, yani moja inaimba dakika 18 au hata zaidi. Nazo tumeombwa tuziweke, zipo na tunaangalia cha kufanya kuweka mambo sawa.

Ahsanteni
 
Tuwekee angalau chache zile kali za mambo ya Pwani. Si mbaya mix ikawemo
 
Kama walivyopendekeza wengine nyimbo zisibadilishwe bali ziongezwe manake mkisema zibadilishwe wengine mtatuondolea raha kwenye zilipendwa.Mimi ziongezwe zilipendwa tu mkuu invisible kwani napazimikia sana hapo!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom