Elections 2010 KUB Freeman Mbowe NKUB Hamad Rashid

mkielewa naomba mnieleweshe

Nafikiri alikuwa anataka kumaanisha Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB) awe Mbowe na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni (NKUB) awe Hamad Rashid. Quinine, utaniwia radhi kama nimatafasiri sivo ndivo..
 
KUB = Kiongozi wa Upinzani Bungeni
NKUB= Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Mbona simpo wakuu.
 
Quite right.
 
sasa hapo nimeelewa ipasavyo....asante sana Lighondi
 
KUB = Kiongozi wa Upinzani Bungeni
NKUB= Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Mbona simpo wakuu.

Mkuu, siyo kuwa hatuelewi vifupisho hivyo. Issue ni kuwa Title inaendana na habari? Title ina maana nyingine. Content zinaelezea wishes zake.

JF is sometimes the Home of Great Wishers!
 
Nafikiri alikuwa anataka kumaanisha Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB) awe Mbowe na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni (NKUB) awe Hamad Rashid. Quinine, utaniwia radhi kama nimatafasiri sivo ndivo..
Ok poa mkuwa but ujue hinyo vifupisho si universal ndo maana wengine tumeachwa out. Thanx a lot kwa kunielewesha, naona kwinini mwenyewe kakubali hope ndo alichomaanisha. Ni nzuri!
 
Hii topic ilishaletwa hapa na wadau wakaijadili saaana. Ina maana yeye mwanzisha thread hasomi hadi aanzishe yake inayorudia yale yale na bado contents tofauti na title?
 
Kama una link yake nipatie, mlijadiliana lini baada ya wote kuwa wabunge au walipokuwa nje ya bunge.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom