Elections 2010 Kuapishwa kwa jmk rais 2010 -2015

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Napenda kuwahabarisha kwa tetesi zilijili kwenya mtambo wangu kuwa maandalizi ya kumwapisha Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 3rd November,2010.

Maandalizi hayo yalisha anzaaaa kwa taarifa yenu i mean gari la nani lita mbeba huyu yule na yule na kadhalika.

Sasa Kazi imebakia kwa wale wanao wania majimbo i mean wabunge wanao taka uwaziri mjipange sasa huko mliko kwenye majimbo yenu mkaze buti kuchakachua hizo kura zenu na tukawaone mjengoni Dodoma kama kweli mtatufikisha 2015(Ari Zaidi, Nguvu Zaidi,Kasi Zaidi) na mkumbukeni hizo ahadi tutakuja kuwauliza next time.

Alafu kwa mbali ninaona mikono ya pongezi baina ya waliopigia CCM na waliopigia CHADEMA,TLP,NCCR-Mageuzi,CUF haitoki na wanatizamana kwa jicho pembe.

WATANZANIA HOYEEEE
 
hakuna wa kumzuia JK kuapishwa wakalale mbele! au wajitangazie jamhuri yao uchagani sio huku kwetu Tanzania!
 
JK siyo mjinga kiasi hicho. Katiba inasema kuwa Raisi atakayeshinda anapaswa kuchukua madaraka yake ndani ya siku saba. Kwa hiyo maandalizi ni sahihi kabisa na wala hayamaanishi ya kuwa ni JK ila ni yeyote atakayeshinda. JK ana matatizo yake lakini hili sasa nalo tumembambikizia tu
 
Kuapishwa kwa Rais wa chama chochote chadema au CCM maandalizi yake hayaanzi baada ya uchaguzi mkuu. Wageni waalikwa wanatakiwa kupewa taarifa mapema na mwaliko huo unakuwa na uzito kama wataarikwa kwa kadi. Kwa mfano, Marais wa nchi mbalimbali na wageni wa kimataifa huwezi kuwapa mwaliko ndani ya siku mathalani 3. sitaki kuamini kwamba maandalizi hayo ni ya ushindi wa chama fulani.
 
Yeah yeyote yule atakaeshinda anahitaji kufanyiwa maandalizi awe JK awe Slaa maana hapo watakuja viongozi wa mataifa mbali mbali, bila ya kujitayarisha kwa hilo itakua ni aibu na fedheha kwa TANZANIA sio JK wala Slaa

Ila kinachonipa tabu (sipati picha) ni pale Slaa akishinda, bila sahaka mara tu baada ya kutangazwa mshindi ni wajibu na ni haki yake apatiwe ulinzi, na sio tena ulinzi wa Chadema, bali ulinzi wa Dola wakati huop huo tunawasikia wafuasi wake wengi hasa hasa humu JF hawana imani na taasisi hizo za dola nether TISS nor Police ....
Au ni wapiga kelele tu,, I mean yeye binafsi (slaa) hana mashaka na hizo taasisi?
 
Wana JF,

Napenda kuwahabarisha kwa tetesi zilijili kwenya mtambo wangu kuwa maandalizi ya kumwapisha Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 3rd November,2010.

Maandalizi hayo yalisha anzaaaa kwa taarifa yenu i mean gari la nani lita mbeba huyu yule na yule na kadhalika.

Sasa Kazi imebakia kwa wale wanao wania majimbo i mean wabunge wanao taka uwaziri mjipange sasa huko mliko kwenye majimbo yenu mkaze buti kuchakachua hizo kura zenu na tukawaone mjengoni Dodoma kama kweli mtatufikisha 2015(Ari Zaidi, Nguvu Zaidi,Kasi Zaidi) na mkumbukeni hizo ahadi tutakuja kuwauliza next time.

Alafu kwa mbali ninaona mikono ya pongezi baina ya waliopigia CCM na waliopigia CHADEMA,TLP,NCCR-Mageuzi,CUF haitoki na wanatizamana kwa jicho pembe.

WATANZANIA HOYEEEE

hakuna wa kumzuia JK kuapishwa wakalale mbele! au wajitangazie jamhuri yao uchagani sio huku kwetu Tanzania!
Atakuwa amedanganywa na watendaji wake tena....!
 
JK siyo mjinga kiasi hicho. Katiba inasema kuwa Raisi atakayeshinda anapaswa kuchukua madaraka yake ndani ya siku saba. Kwa hiyo maandalizi ni sahihi kabisa na wala hayamaanishi ya kuwa ni JK ila ni yeyote atakayeshinda. JK ana matatizo yake lakini hili sasa nalo tumembambikizia tu

Tumembambikia eeeehhh ndio wajidanganya hivyoooo ngoja siku hiyo ikifika uta jua basi me nakupa internal details wadhani ni uongo?

Atakuwa amedanganywa na watendaji wake tena....!

Wanataka kuifanya kama ile ya KIBAKI kule KENYA Mather Karua ndie aliye ilazimishia kuwa Rais Kibaki aapishwe wakati huku wanahangaika na kutakakujua nani ni rais
 
Wana JF,

Napenda kuwahabarisha kwa tetesi zilijili kwenya mtambo wangu kuwa maandalizi ya kumwapisha Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 3rd November,2010.

Maandalizi hayo yalisha anzaaaa kwa taarifa yenu i mean gari la nani lita mbeba huyu yule na yule na kadhalika.

Sasa Kazi imebakia kwa wale wanao wania majimbo i mean wabunge wanao taka uwaziri mjipange sasa huko mliko kwenye majimbo yenu mkaze buti kuchakachua hizo kura zenu na tukawaone mjengoni Dodoma kama kweli mtatufikisha 2015(Ari Zaidi, Nguvu Zaidi,Kasi Zaidi) na mkumbukeni hizo ahadi tutakuja kuwauliza next time.

Alafu kwa mbali ninaona mikono ya pongezi baina ya waliopigia CCM na waliopigia CHADEMA,TLP,NCCR-Mageuzi,CUF haitoki na wanatizamana kwa jicho pembe.

WATANZANIA HOYEEEE

Hivi kwa nini nchi yetu ina watu ambao wana elimu ndogo ya Uraia... Unajua Rais yeyote ataingia madarakani anatakiwa kuapishwa? na Katiba inaweka limit za siku za Kuapishwa... sasa huoni ni jambo la maana kuandaa hiyo sherehe bila kujali Rais atakuwa nani?
 
hakuna wa kumzuia JK kuapishwa wakalale mbele! au wajitangazie jamhuri yao uchagani sio huku kwetu Tanzania!

Inaonesha wewe ni mkabila sana, embu niambie ni mgombea yupi anayegombea uraisi anatoke uchagani, wewe ni mmoja wa wale waliotumwa kuchafua hali ya Hewa JF in August to Oct

mmmmhhh

SILAHA
View Profile View Forum Posts Private Message View Articles Add as Contact

Member

--------------------------------------------------------------------------------

Join Date:Wed Oct 2010
Posts:10
Thanks:0
Thanked 2 Times in 2 PostsRep Power:
 
Back
Top Bottom