Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuanzisha kituo cha mafuta (Filling Station)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Nyenyere, Jul 6, 2011.

 1. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 6,521
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  Wakuu nimeamua kuthubutu. Nataka kuanzisha kituo cha kuuzia mafuta (petrol & diesel). Ninapanga kuanzana na pampu mbili tu. Je ni mambo yapi ya msingi ninayopaswa kuzingatia ili kuanzisha kituo?
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,341
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  hii biashara haina hasara,ni faida tupu.tatizo ni mtaji na ugumu wa kukubalika ktk kilinge cha wenye shelli hizi.
  unataka kuanzisha mkoa gani,bara bara ipi?
  -kwa ajili ya equipments,nenda BIG bon msimbazi,wao wanaofisi ya kuuza vipuri na mitambo ya kuuzia mafuta
   
 3. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 6,521
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni maeneo ya kitunda. Nimedhamiria kuanza kidogo kidogo.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 0
  mkuu .... ninakushauri kama una eneo ambalo ni potential kwa wateja wa diesel and gasoline(petrol) lililo karibu na highway nenda kwa oil companies zinazo source (oilcom, camel oil, engen, oryx, total, etc) watakupa requirements zao na kuna uwezekano wa kukupa pumps na mafuta kama franchise na kwa mkataba maalum wa malipo .... hii ni nzuri kwani hutaangaika kupata mafuta na itakuwa obligation yao wanakupa reliable supply ya mafuta hata kama kuna uhaba wa mafuta kutokana na mkataba wenu, pia uta enjoy marketing yao automatically .. kwani kama engen wakifanya advertisement kwenye TV au billboards basi na kama kituo chako ni engen unakuwa umefanya advertisement automatically

  ..... vinginevyo utahangaika sana
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,533
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  nahisi mkuu hii ni baada ya mafuta ya taa juu na wewe ndo unainvest..
  biashara njema mkuu ila mwanzo ni mgumu..
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu, jaribu kwenda pale Kariakoo Big Bon (Boa Bank) kuna ofisi zao wana dili na mambo ya Oil Gas watakupa ushauri mzuri wa kitaalamu
   
 7. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 6,521
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  Thanks. Nitalifanyia kazi.
   
 8. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu b'ness nzuri sana!ila taabu capital!hv inabd uwe na how much ili uanze hii b'ness?
   
 9. canaan

  canaan Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Unahitaji uwe na certificate ya mazingira kutoka Nemc kabla ya kupatiwa leseni na EWURA, so anzia kwanza EWURA watakupa form na maelezo yote ya taratibu za kuanzisha biashara hiyo
   
Loading...