kuanzia tarehe 1.1.2012 ninajitambulisha rasmi hapa jamvini

tarehe 1.nitaweka jina langu kamili picha yng na wasiliano yng.wadau tuige mfano huu mzuri ili tufahamiane vizuri,kupunguza unafiki

Kujitambulisha kwa jina jitambulishe kadiri ya utashi wako.

Lakini usiseme kwamba kujitambulisha kwa jina ndio kunaondoa unafiki na kutumia alias ndio kunaleta unafiki.

Kuna kina William Malecela na "Dr" Kigangwalla (MP) wamejitambulisha kwa majina yao na haweshi kuleta uzandiki hapa.

Na tuna ma debonair al-watans hapa wasiotumia majina yao ambao uongo kwao mwiko kama mawalii.

Get it right.

Isitoshe hakuna guarantee kwamba kuna agents wa "usalama wa taifa" hapa wanajidai ku promote ukweli kumbe wanataka kuandaa list ya watu wa kuwashughulikia. It's not like hili haliwezekani Tanzania.
 
Isitoshe hakuna guarantee kwamba kuna agents wa "usalama wa taifa" hapa wanajidai ku promote ukweli kumbe wanataka kuandaa list ya watu wa kuwashughulikia. It's not like hili haliwezekani Tanzania.

:lol: unamaanisha, 'uhasama wa taifa'? Ok, bye!
 
Back
Top Bottom