kuanzia tarehe 1.1.2012 ninajitambulisha rasmi hapa jamvini

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
tarehe 1.nitaweka jina langu kamili picha yng na wasiliano yng.wadau tuige mfano huu mzuri ili tufahamiane vizuri,kupunguza unafiki
 
Kuweka jina na picha ndio mfano mzuri?
Na wanaosaidia masikini tuseme nini. . . . ?
 
Mimi mbona toka nilipojiunga nimeweka jina langu na picha yangu?
 
mmhh ila unahitaji nguvu za ziada kufanya hivyo hongera kwa mpango huo..
 
Mbona wengi tu humu tuna picha zetu na majina ya ukweli. Kama huioni picha yangu ujue wewe sio great thinker.
 
Back
Top Bottom