Kuanzia mwaka 2010 hadi leo; Dr Wilbroad Slaa

E=mcsquared

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
236
40
Napata impression moja kuwa jina la Dr Wilbroad Slaa limefikia hatua ya juu sana ya mafanikio kisiasa hasa kuanzia kipindi cha miaka 10 kurudi nyuma. Ukishatoka kwenye kiwango hatua hiyo, unaenda kwenye kilele! Huyu mtu mwaka huu tunapeleka Ikulu hatuna mchezo!
 
sijui nini
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • homepage.png
    Visit Homepage
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-online.png

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

R u naked?
 
Anafosi kingi! Teh teh teh! :tonguez:

From Padri (uliyevunja ubikra wake akiwa padri na kuzaa na mwanamke) to mbunge to mgombea urais = hatua ya juu sana ya mafanikio kisiasa! :hand:

Mimi naona umekunywa pombe ya kisiasa, tena ile kienyeji! :A S 13:
 
Napata impression moja kuwa jina la Dr Wilbroad Slaa limefikia hatua ya juu sana ya mafanikio kisiasa hasa kuanzia kipindi cha miaka 10 kurudi nyuma. Ukishatoka kwenye kiwango hatua hiyo, unaenda kwenye kilele! Huyu mtu mwaka huu tunapeleka Ikulu hatuna mchezo!

Kweli kafikambali kupora mkewamtu nakumnadi hazarani kweli huyu ni mwanasiasa lakini sawa hikichama cha mbr man watu wakujirusha
 
"From Padri (uliyevunja ubikra wake akiwa padri na kuzaa na mwanamke) to mbunge to mgombea urais = hatua ya juu sana ya mafanikio kisiasa"

"Kweli kafikambali kupora mkewamtu nakumnadi hazarani kweli huyu ni mwanasiasa lakini sawa hikichama cha mbr man watu wakujirusha "

Poleni saaana vibaraka wa mafisadi

Wenzenu wa Daily News, Habari Leo, Uhuru, Mzalendo, Mtanzania na Rai wamekubali yaishe baada ya kutishiwa na chui wa karatasi... eti hizo nyumba za vioo wanazokaa zitapigwa mawe....sasa hivi haoooo wameingia mitini..... Hivi tukiweka za JK hadharani hamtapofuka macho??? Anyway...wa-tz wa zama hizi sio wa type zenu za kindondocha...... Endeleeni Kufukuza upepo na ukibaraka wenu!!!!
 
Kweli kafikambali kupora mkewamtu nakumnadi hazarani kweli huyu ni mwanasiasa lakini sawa hikichama cha mbr man watu wakujirusha
Karibu sana NTINGINYA jukwaani. Kampeni zenu huenda zikafanikiwa maana mnavamia kwa fujo kama vile mmetumwa.
 
Napata impression moja kuwa jina la Dr Wilbroad Slaa limefikia hatua ya juu sana ya mafanikio kisiasa hasa kuanzia kipindi cha miaka 10 kurudi nyuma. Ukishatoka kwenye kiwango hatua hiyo, unaenda kwenye kilele! Huyu mtu mwaka huu tunapeleka Ikulu hatuna mchezo!
Hii imetulia.
 
Back
Top Bottom