mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,503
- 252
Mmoja wa watu ambao wamekuwa wakihusudiwa sana na wananchi wa kada zote mathalani raia wa kawaida na vyama vya siasa kwa uchapaji kazi wake ni mh magufuri. Ila baada ya kcuhunguza sana baadhi yetu tumegundua magufuri ni mnafiki tu!. Mathalani sijawahi kusikia hata siku moja mh magufuri akipinga muswada usio na tija kwa taaifa. Yeye ameingia katika kundi la wabunge wa sisiem wanao penda kusema ''' ndiooooooooooooooo! Wakimaanisha kuunga hoja hata kama ni za kukandamiza wananchi. Mfano mzuri ni muswada wa waziri wa fedha wa juzi mh magufuri alikuwa miongoni mwao waliounga mkono hoja kwa kauli ya ndioooooooooooooooooooooooooooooooo!. Nilikuwa nampenda sana magufuri lakini sasa nimegundua ni mnafiki tu!