Kuanzia leo mi na wewe basi.......

Unampa live kwani mi ndo mwanaume pekee bana niliyebaki kwako tafuta mwingine kwangu nishakuchoka
atakwambia umentumia nimechakaa ndo unajitia kunambia umenchoka,boo mwanahizaya wewe siondoki ng'oo,ukitaka ondoka wewe uniachie nyumba.Wakati huo benki akiba yako hata elfu kumi haifiki.

halafu mnasema mademu hatujatulia

ndo maana wajanja wanakaa kimachalemachale mguu mmoja kulia na mmoja kushoto ukitoswa huku unahamia huku.ili kupunguza maumivu akiba ni muhimu hadi kieleweke.

ni kweli kabisa bebii...plan A ikifeli plan B ipo....spea tairi....alijiimbia matonya

atakwambia umentumia nimechakaa ndo unajitia kunambia umenchoka,boo mwanahizaya wewe siondoki ng'oo,ukitaka ondoka wewe uniachie nyumba.Wakati huo benki akiba yako hata elfu kumi haifiki.

Tulitumiana bana kwani starehe nilikuwa nakula peke yangu
si tulikuwa tunazeeshana wote
na sometime kuna siku nilikuw asina mood yeye analazimisha kwa ajili ya kujipenda yeye

Na kama ni kutunga story najifunza kabisa na kutoa visingizio kibao vilivyonifanya nifikie uamuzi kama huo
hata kama ni kuleta story za babu yangu aliyekufa zamani na mausia yake

wanawake wengine wabishi....

ni kweli kabisa bebii...plan A ikifeli plan B ipo....spea tairi....alijiimbia matonya
kweli kabisa tena spear inatakiwa ipewe kipaumbele zaidi wallah maana atakuja kukusitiri siku ya mateso yako

atakwambia umentumia nimechakaa ndo unajitia kunambia umenchoka,boo mwanahizaya wewe siondoki ng'oo,ukitaka ondoka wewe uniachie nyumba.Wakati huo benki akiba yako hata elfu kumi haifiki.

kama mna watoto,muachie tu hiyo nyumba

Mikatabafeki,...... nilidhani jina tu kumbe hata matendo??

inategemea mkuu kama kwa dhati kabisa yeye ndo amesababisha tukafikia hapo .... from my experience nilimuambia it is over mchana kweupeeeee bila kumumunya maneno.. kwamba atareact vipi maadam ana mchango mkubwa katika hilo na nilishamua alart... it is non of my business.
baada ya kusema maneno hayo alikuponyesha? au ulitoka na ngeu?

atakwambia umentumia nimechakaa ndo unajitia kunambia umenchoka,boo mwanahizaya wewe siondoki ng'oo,ukitaka ondoka wewe uniachie nyumba.Wakati huo benki akiba yako hata elfu kumi haifiki.

bora kukopa ili ulipie nyumba kluliko kuendelea kukaa na kinyongo na mtu ambaye humpendi ndani ya nyumba

kweli kabisa tena spear inatakiwa ipewe kipaumbele zaidi wallah maana atakuja kukusitiri siku ya mateso yako
mapenzi ya mujini mujini siku hizi yamekaa kisanii sana,sishangai kwa comment yako hii Bebii,it tells a lot.

eenh vidumu muhimu sanaaa sio tunajidanganya ndo ukweli

hapo akili zangu changanya na za kuambiwa
Nikiambiwa na wangu kuwa ananipenda nichanganye na za kuambiwa hapo kuna issue zipendwi asilimia zote

yaani nyie mna balaa
ndo maana imeandikwa tukae na nyie kwa akili
hapa akili zako changanya na za kuambiwa
kwani kuwa na kidumu sio akili? hata sisi akili za kuambiwa tunamiski na zetu chakachua nikuchakachue

Back
Top Bottom