Kuanzia leo mi na wewe basi.......

sema watu hawajui tu..
kuachana kwa wema raha sana...
mnaweza kurudiana tena kwa moto zaidi
 
wakati mwingine sio kwamba anakupenda kihivyo ni njaa tu.

mkuu hiyo pointi ya njaa ni muhimu mno....
ukijua hivyo,basi endelea kumhudumia huku umeachana nae.....
ndo inaitwa kuachana kwa wema
mhudumie mpaka atakaposimama mwenyewe au akapopata mtu mwingine
 
ndo maana nikasema hapo shughuli....
wengine huanza na visa hivi
hakuna sex,hakuna story....unarudi umechelewa
una mtuhumu ana bwana nje....its funny

but mimi napenda ya kuacha kwa wema,mnazungumza mpaka anakuelewa

Mkuu hapo sasa inategemea
Maana kama uko nae ndani kusema no sex wakati mtulinga unahitaji ni shughuli nyingine
May be hizo nyingine za kumfanyia visa
Ila nafikiri maongezi ni muhimu
Unamtoa out mnakaa unapasua kile ambacho kiko moyoni mwako
na uwe tayari kwa reaction yake
 
bishanga,kama ni yule mkeo anaekupiga,weeh sepa tu kimya kimya. tafuta nyumba hamia wala usijadili nae asije akakushawishi. atakuua siku moja.
we King'asti wewe,apigwe nani? mi nna black belt bana!
 
mkuu hiyo pointi ya njaa ni muhimu mno....
ukijua hivyo,basi endelea kumhudumia huku umeachana nae.....
ndo inaitwa kuachana kwa wema
mhudumie mpaka atakaposimama mwenyewe au akapopata mtu mwingine

TB nakubaliana na wewe
kama kuna kingine zaidi ya penzi sawa
Ila kuna wale ambao kweli amekupenda na kubreak such a news to her ni issue
 
Mkuu hapo sasa inategemea
Maana kama uko nae ndani kusema no sex wakati mtulinga unahitaji ni shughuli nyingine
May be hizo nyingine za kumfanyia visa
Ila nafikiri maongezi ni muhimu
Unamtoa out mnakaa unapasua kile ambacho kiko moyoni mwako
na uwe tayari kwa reaction yake

usijaribu kumtoa out
halafu umwambie tuna achana
utajuta..
mwambie mkiwa ndani tu
 
mkuu hiyo pointi ya njaa ni muhimu mno....
ukijua hivyo,basi endelea kumhudumia huku umeachana nae.....
ndo inaitwa kuachana kwa wema
mhudumie mpaka atakaposimama mwenyewe au akapopata mtu mwingine
tatizo la hawa wenzetu ukiendelea kutoa huduma ye anaona unam mind matokeo yake wivu unakuwa pale pale,ukipata dem mwingine anaanza vitisho na kutuma mameseji ya hovyo,si unajua tena wanawake wa mjini?
 
wanawake wa mjini hawana formula lol
 
usijaribu kumtoa out
halafu umwambie tuna achana
utajuta..
mwambie mkiwa ndani tu

Mkuu hebu nipe ufafanuzi wa outing hiyo na kumwambi aunamuacha
Maanamimi kwangu naona ndio njia rahisi na nyepesi sehem tulivu
 
TB nakubaliana na wewe
kama kuna kingine zaidi ya penzi sawa
Ila kuna wale ambao kweli amekupenda na kubreak such a news to her ni issue

ukitaka kujua unapendwa sana au ni huduma ndo zinapendwa
mwambie umefukuzwa kazi.uone....lol
 
usimbwambie kwa kumshtukiza
anza taratibu tu....ataelewa

Tb unajua ile kuzunguka kama unaenda kimara unaanzia posta unaenda mwenge then mwenge ubungo then ubungo kimara ndo zetu
inabidi hapo nijifunze namna ya kutengeneza statement
 
usijaribu kumtoa out
halafu umwambie tuna achana
utajuta..
mwambie mkiwa ndani tu[/QUOTE]
Mkuu hapo kwenye red,akiamua je kuvunja kila kitu,hako ka plasma kako ulikokakopea hela kwa mwajiri utapata wapi kengine Mkuu? bora nje ya nyumba
 
ukitaka kujua unapendwa sana au ni huduma ndo zinapendwa
mwambie umefukuzwa kazi.uone....lol

Au ule mkopo niliokuwa nautegemea umekataliwa na nyongeza ya mshahara boss kakataa
na lile duka letu limefilisiwa na Pride ambao walikuwa wananidai
 
Mkuu hebu nipe ufafanuzi wa outing hiyo na kumwambi aunamuacha
Maanamimi kwangu naona ndio njia rahisi na nyepesi sehem tulivu

anaweza kuangua kilio
mbele za watu
au kukutukana na kuanzisha fujo
au mwingine akaona umemsanifu so
ulii enjoy kumuacha kwa staili hiyo
bora nyumbani tu
 
hakika kati ya mambo magumu yanayoweza kumkabili mwanaume ni kumwambia mkewe/gf/hawara kuwa 'its over'. Pamoja na kwamba kichwani mwako mwanaume unaweza kukata shauri kuwa huyu mwanamke hanifai kimbembe huwa kinakuja kwenye kumtamkia na ugumu unaongezeka kama unaishi naye. Wengine siku hizi wana text,wengine wanaandika e mail,wengine wanamtuma mtu awasemehe,all in all ni jambo gumu sana maana uongo binadamu tumeumbwa na uso wa haya.
Kwa wanaume: Kama ushawahi kujikuta katika situation hii ulifanye kumjulisha mwenzio kuwa mahusiano yenu yamefikia tamati?
Kwa kinamama: Kama haya maswahibu yashawahi kukuta jamaa alikujulisha kwa staili ipi,and how was your reaction?
Nawasilisha
halafu mnasema mademu hatujatulia
ndo maana wajanja wanakaa kimachalemachale mguu mmoja kulia na mmoja kushoto ukitoswa huku unahamia huku.ili kupunguza maumivu akiba ni muhimu hadi kieleweke.
 
anaweza kuangua kilio
mbele za watu
au kukutukana na kuanzisha fujo
au mwingine akaona umemsanifu so
ulii enjoy kumuacha kwa staili hiyo
bora nyumbani tu

Mkuu nimekupata
Ila kwa huku kwetu kuna sehem zina viwanja unaweza kwenda kukaa sehem ukafikiri hakuna binadam wengine zaidi ya mhudumu ambaye anakuja periodic kuangalia kama kuna huduma
Nenda porini kama tarangire au manyara huko au ngorongoro uko alone huko na yeye tuu unamwambia
 
Back
Top Bottom