4X4byfar
JF-Expert Member
- Oct 29, 2008
- 201
- 17
Za masiku wapendwa wenzangu,
Jamani leo nimekuja kuomba na mimi msaada ni jinsi gani nitakavyoweza kuanzisha biashara na mtaji wa kama millioni 5. Natamani sana kufanya biashara ila sijui pa kuanzia na nifanye nini na huo mtaji hasa. Ntashukuru sana kwa michango yenu kwa yoyote yule mwenye kufahamu biashara au hata ushauri. Asanteni.