Kuangushwa kwa Yusuph Kikwete ni kura ya maoni kwa Jakaya Kikwete?

Hapana, inategemea huyo Yusuph Kikwete ni mtu wa namna gani na alijieleza vipi kwa wapiga kura wake.

Yaani nisingeona jina lako nisingetokea mitaa hii. Watu wanalinganisha ukwaju na mapera sasa.
 
Ingawa pwani ni sehemu ndogo ya nchi,
lakini pia ni nyumbani kwa Raisi Kikwete,pia
kutokana na ukaribu wao inamaanisha ana
baraka zote za mweshimiwa.
Najua watu wanajifanya vipofu,
kama Kikwete atashinda Uraisi tena ni kwa sababu
Democrasia fake na si vinginevyo.
 
wewe mkulu shungurui,

unataka ashinde nani sasa? tupe mtu mbadala wa kumshinda JK tumpime hapa kabla ya yote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom