Kuanguka vibaya kwa CCM Arumeru, upepo kubadilika?

Wakuu,jinsi Siyoi Sumari alivyopita toka mwanzo kimizengwe, kushindwa vibaya kwa CCM huko Arumeru nini uelekeo wa makundi ya Urais,EL na Chama chenyewe? Pongezi kwa Chadema

kuanguka vizuri kungekuwaje

hata hivyo Sitta na Nape walitahadharisha mchakato ule wa kumpitisha Siyoi
 
Mbowe wewe Jemadari bana khaaa, Rais wetu 2015 Dr Slaa tunakusubiri kukupa pongezi za dhati. Kijana Nassari katuwakilishe vizuri bungeni
 
Zitto amepost muda sio mrefu kwenye facebook kwamba CDM imeshinda, na mbali ya Zitto yupo mwingne tena kapost CDM imeshinda, so sidhani kama anaweza danganya umma.
 
The question is: nani atamvua nani magamba? Unadhani Kikwete kweli anaweza kumvua EL magamba yake? Hawa wote wanajuliana siri zao. Kwa kumvua mtu magamba unatakiwa wewe uwe msafi. They are all dirty kama alivyosema wakati mmoja Mkapa. Magamba yataizika CCM.

wakuvuliwa magamba angekuwa kwenye kampeni

achaneni na utani wa ccm
 
kwani matokeo kamili yameshatangazwa?
Mkuu na mi hilo ndo swali langu! mbona watu wanandika htereads humu jamvini kama kwamba matokeo rasmi yameshatangazwa. Kwani dk 90 zimeisha na refa kapiga kipenga cha kutangaza mshindi. Mimi naomba CDM washinde, ila hizi threads nyingine zinatuweka roho juu, kama matokeo rasmi tayari yapo tujuzeni, tuanze kushrehekea kikweli kweli!
 
Mkuiu Chadema imeongoza kata 14 na CCM kata 3.. Hata hili nalo huoni?
 
Moja ya Chama Kikongwe kabisa barani Afrika kugalagazwa vikali na CDM inaweza kupelekea sasa kuvuana magamba kweli? Nape kupata nguvu zaidi?
 
Je ushindi mnono kabisa wa CDM kuongeza kasi zaidi,ari zaidi ,na nguvu zaidi ya kuvuana magamba? Nape this is your oppurtunity utaeleweka sasa!
 
The question is: nani atamvua nani magamba? Unadhani Kikwete kweli anaweza kumvua EL magamba yake? Hawa wote wanajuliana siri zao. Kwa kumvua mtu magamba unatakiwa wewe uwe msafi. They are all dirty kama alivyosema wakati mmoja Mkapa. Magamba yataizika CCM.

Kikwete ndio aliyemwambia sioi agombee huu ubunge, siku ile alipoenda kwenye msiba wa mzee sumari.
Kuhusu 2015, chaguo la kikwete ni Migiro.
Hii ishu nilikuwa siijui mpaka LEO nilipoelezwa na mzee wangu.
Migiro atapewa nafasi ya Membe.
Nilivyoelezwa ni kwamba Membe na JK hawaivi kabisa.
Membe ni mtu wa misimamo na makini kwenye kazi, anapishana sana na JK.
Kuhusu Lowassa, yeye Lowassa bado ana nia ya uraisi, sasa kinachotazamwa ni jinsi gani ataweza kuvuka vikwazo vya NEC na CC mpya ya kikwete, kwani technically lowassa si mjumbe tena...
 
Je ushindi mnono kabisa wa CDM kuongeza kasi zaidi,ari zaidi ,na nguvu zaidi ya kuvuana magamba? Nape this is your oppurtunity utaeleweka sasa!

Technically huu ni ushindi mdogo sana kwa cdm, kwa nini?
Tokea 2005, tulipojiandikisha kwenye daftari la kupiga kura, NEC hawajaweza kuandikisha tena upya vijana.
Tokea 2005 hadi sasa ni almost 7 yrs.
Jiulize ni vijana wangapi wapo eligible... Cdm ina wanachama na wapenzi wengi sana, before 2015 wataandikisha upya (sio kuboresha), then hapo ndo utaona USHINDI WA KISHINDO.
 
Big up chadema chaguo la mungu, now i can see a bright future of tanzania in three years to come
mungu ibariki tanzania, mungu ibariki chadema!!!!!!!!!!!
 
Sasa subili tuone nyege zao kwenye kesi ya Mh Lema tarehe 5.4.2012.
Baada ya meru tunalitaka jimbo letu la segerea kwa huyu mkimbiaji ya mabox ya kura.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom