Kwani Sumaye ana usafi gani yeye na Mkapa si ndio wameuza migodi yetu kwa wazungu.
Mkuu hongera sana kwa comment yako ya ukweli! Mi nilidhani we una-support ufisadi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Sumaye ana usafi gani yeye na Mkapa si ndio wameuza migodi yetu kwa wazungu.
Kwani Sumaye ana usafi gani yeye na Mkapa si ndio wameuza migodi yetu kwa wazungu.
Ingawa uchaguzi wa CCM ni wao, hakuna kitu kimenishangaza kama watu wenye udhu kama Fredrick Sumaye waziri mkuu wa zamani kuangushwa na Mary Nagu mtuhumiwa wa kughushi vyeti vya taaluma. Nimeshangaa kwa mafisadi kama Edward Lowassa na Andrew Chenge kupeta huku watu wenye udhu kama Sumaye kutupwa nje. Je CCM na wanachama wake wameanza kujitofautisha na biashara ya kula takrima bila kujali kama wanayemchagua ni fisi, fisadi au chatu? Nini mawazo yako?
Simple,JK bado anamhofia Sumaye,kumbuka ile kauli yake kwamba "ukiingia madarakani kwa kalamu utabaki kwa risasi",nadhani anaogopa visasi kwasababu inasemekana na yeye ni mtu wa hivyo.
Anadhibiti kote kote.Fuatilia kauli ya January akisema hawataki kiongozi atakayeingia madarakani awe mtu wa visasi.Anaogopa visasi kwan mmesikia hii nchi inakwenda kutawaliwa na ccm tena? Mpaka kikwete amuogope sumaye?
Mheshimiwa Lowassa amekuwa mkarimu kutowa misada kutoka mfukoni mwake kusaidia jamii ya Tanzania ikiwa skuli (Shule) makanisani vikundi vya kijamii Nk,yupo mwepesi kutowa pale anapoelezwa shida zinazowakabili wananchi popote pale hapa Tanzania ,ushindi wake ni ushahidi tosha kuwa ndani ya CCM kuna viongozi wachache ambao karimu tena wanahisabika kwa kweli anastahiki ushindi aliopata ,ukija kwa Sumaye inasikitisha aliwahi kuwa waziri Mkuu kwa kipindi kikubwa sana kuliko lowassa lakini amekuwa mgumu kutowa kutoka ndani ya mfuko wake binafsi kusaidia jamii mwisho nataka kusema Sopia simba anastahiki kuwa ni powerfull women katika politiki ya Tanzania kwani mengi aliwahi kuyasema na bado anaendelea kusema ambayo yanaukweli unaojitokeza hivi sasa ,aliwahi kutueleza huko nyuma yakuwa Lowassa ni mwamume mle ndani ya Bunge nimekuwa nakubaliana nae sasa naimani wa Tanzania mtalikubali hilo .

Mkuu hii thread yako sijaielewa kabisa, kwani Sumaye yupo kwenye kundi gani? Huyu jamaa nadhani katika mawaziri wakuu waliojitajirisha wakiwa madarakani huyu anaongoza. Kwani ile Hotel ya Mt. Meru Arusha ni ya nani? Alikamata maeneo mengi na vitega uchumi kibao. Kwa kweli Lowasa ni nafuu ya huyu jamaa
Huwezi toa usicho nacho....Sumaye hawezi toa rushwa kwani si mla rushwa....Ni aibu na ajabu mtanzania kushabikia mambo ya aibu hadharani...
Kwani Sumaye ana usafi gani yeye na Mkapa si ndio wameuza migodi yetu kwa wazungu.
Wakuu nguvu kubwa sana imetumiwa na SSM kuhakikisha Sumaye hashindi!!! Pesa kibao ilimwaga kupita kiasi. Na mkono wa mamvi pia upo kwa sana kwa sababu fulani fulani hivi. Katika hali ya kawaida yule mama asingepata kura, hatakiwi kule japo anatumia nguvu nyingi sana kutaka kutetea kiti cha ubunge. Rushwa zilikuwa zinapitishwa usiku wa manane!! Fisadis at work!!
Unaonekana kumsiliza sana Nape ... Nape Roho yake ni kama vile Shubiri kazi yake ni kuhubiri Ubaya tu.... zidi ya lowassa ,You do not need to be a rocket scientist kulielewa hilo baada ya ushindi aliopata Lowassa unaweza kujiliza Nape na hujuma zake zimefikia wapi ? nahakika kuanzia hapa ataelewa who`s a Daddy (Actions Speak Louder than words)
Hakika sumaye naye si msafi hata mali alizo nazo sidhani kama amezipata kihalali!
Sidhani kama sumaye ni msafi!
Hapo kwenye bold nina mashaka kama pana ukweli!!!Ingawa uchaguzi wa CCM ni wao, hakuna kitu kimenishangaza kama watu wenye udhu kama Fredrick Sumaye waziri mkuu wa zamani kuangushwa na Mary Nagu mtuhumiwa wa kughushi vyeti vya taaluma.