Elections 2010 Kuanguka kwa JK Jangwani, je ni uchawi?

UCHAWI JANGWANI - Global Publishers

My take:
Hivi ni kweli haya mambo yalikuwepo au ni mbinu za kuficha ukweli juu ya matatizo ya kiafya yanayomkabili JK?

Huyu shigongo si kibaraka mkubwa wa thithiem, si uliona jamaa alivyomnadi pale jimboni alipobwagwa na kumpa moyo kuwa hata yeye 1995 aliambiwa atulie na sasa mambo safi!! Naye akasema ataungana na mwana ccm aliyepita ili wahakikishe wanashinda!! Tena mkulu akamnadi eti ana magazeti!!! Yapi hayo au udaku??? Kweli siasa ni uvundo mtupu!!

Wanataka kusafisha huo ugonjwa kwa kulaghai watu? Mbona Dr. Slaa hakuanguka pale jangwani? Aliyeteleza ni Bob Makani kwa uzee wake tu si si vinginevyo.

Pale Jangwani kuna nguvu za Mungu ambazo zinashindana na nguvu za wanaoamini nguvu za giza??!!! Nani zaidi Nguvu za Mungu VS matunguli ya kinga?

 
Si uchawi, ni laana toka kwa MUNGU kwa madhani yote aliyofanya Kikwete dhidi ya watanzania
 
Alikosea miiko aliyopewa baada ya kuapishwa kupitia lango la kuzimu la bagamoyo kuwa raisi wa Tanzania. Kosa lake ni pale aliposema "Bwana YESU asifiwe" Moto uliomuwakia ulikuwa si wa kawaida hadi kumdondosha chini, ndipo mmoja wa waganga wake wa kienyeji alipoondoa zana za uganga mwilini mwake.

Ndiyo maana mara tu baada ya kuzinduka alitakiwa atamke "TUMESHINDAAAAA"
 
Kutokana na hali ya JK kuwa tete, kwa maana ya kuanguka anguka ukwaani, natoa ushauri wa bure kwa wasaidizi wake awe anavalishwa helmet kila apandapo jukwaani asije akavunja fuvu la kichwa . Huu ni ushauri tu kwa mgonjwa wa taifa, take it or leave it
 
hii picha imetumika kuhararisha utetezi wa kiipuuuzi dhidi ya afya ya mkuu wa nchi, mgombea urais wa jamuhuri.
ndo maana nashangaa kiwango cha ujinga wa kila mwana CCM, kwei kada mwenzao anawaaminisha kuwa uchawi chanzo cha JK kudodoka.
ni ujinga kwakweli.
 
Inaonekana jangwani kuna nguvu inayoshindana na nguvu za giza, maana pale watumishi wa Mungu wanafanya mikutano yao na ibada nyingi pale. Sasa wale wanaoingia pale na matunguri yao waliyopewa Bagamoyo lazima wadondoke!
Tena kuna tukio lingine alianguka mbele ya watumishi wa Mungu kule Mwanza. Inabidi wasaidizi wake wawe makini!
 
asiejua kuwa ccm hawajiamini na slaa anawatoa jasho ni nani?jamaa alipanik akawa haelewi afanye nini ila dah ni aibu kwa nchi hakuna uchawi wanazuga tu ukweli wanaujua kama hamuamini ataanguka tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom