Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

Kusema ukweli sijaelewa wimbo wala maan ya wimbo.Sasa sijui ana maan JK si mtandao na kumtukuza kama mwokozi ? Mtanisaidia kuelewa tafadhali .
 
nilivyo ona, nikwamba huyu Hamsini anataka kujiunga na mtandao... Kwahiyo anamsifu JK na wanamtandao kwa kutengeneza pesa nyingi sana nakutaka kazi kwenye serikali na yeye kutengeneza pesa....
 
Hivi kweli Ballali amefariki dunia? sms zinatembea kusema amefariki, au ndio wameforge death certificate wakati yeye akiingia mitini na fedha? Mtandao huo!!!!
 
fanya remix...kwa jinsi ninavyopafaham hapa jamvini kuna baadhi ya majina yakichangia hoja yako au kama yange comment basi ungejua mambo yako poa,,,,so nakushauri kama ulikua unajaribu sio mbaya,,,sasa fanya remix na tutakualika kwenye party zetu hapa jamvini uwe unatumbuiza
 
kwa lugha hizi unataka ufungiwe sasa kisha uanze kulialia kuwa JF inachukia mafisadi na kuwafungia

kufungiwa nishawahi kufungiwa ! guess what ?? naweza nikakaa more than 2 months without stepping in here, so kufungiwa is even out of the question booty man !

kufungiwa kwangu hakutofanya wengine kukuitwa wewe butty boy au booty man !
 
kufungiwa nishawahi kufungiwa ! guess what ?? naweza nikakaa more than 2 months without stepping in here, so kufungiwa is even out of the question booty man !

kufungiwa kwangu hakutofanya wengine kukuitwa wewe butty boy au booty man !

Kumbe unalijua hili mama?
 
Mwalimu nyerere mwanafalsafa na shujaa wa nchi yetu baada ya kina Kinjketile, milambo na Mkwawa aliwahi kusema kuwa"ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, Watu (wenye akili timamu) Ardhi, siasa safi na uongzi bora"

Watu tuko wengi tuu hivi sasa, ardhi bado ipo ya kumwaga hadi nyingine inaporwa ili ilimwe mibono. Sasa kivumbi kiko kwenye siasa safi na uongozi bora. Na kwa kuwa Mwalimu mwenyewe alishawahi kusema kwamba "bila CCM madhubuti" nchi itayumba na kwa kuwa CCM hii ya sasa ni ya mafisadi nchi ndiyo maana inayumba basi hakuna budi kufanya kitu kitakachoirudisha nchi kwenye mstari

kwa sasa ili tuendelee tunahitaji kitu cha tano "lazima CCM ife" kwani bila ya CCM kufa ufisadi hauwezi kufa bali nchi yetu ndiyo itakayoparaganyika!
 
huwa mnakosea kuhusu msemo wa mwalimu kuwa bila ccm madhubuti ccm itayumba. mwalimu alikuwa na mazoea ya kuzungumza kufuatana na nyakati. kwa wakati ule ilikuwa ni kweli kwa kuwa bila ccm manake ingekuwa ni mrema na nccr mageuzi. lakini mwalimu angekuwepo leo angesema kitu kingine kabisa, yaani bado mnaamini bila ccm ya akina jk, lowas, chenge, rostam, makamba, na wengine nchi itayumba?
pia tunapokariri misemo ya mwalimu tusichukue vipande vipande, kwa pale dodoma kuna bango kubwa sana pale kuu street limewekwa na kampuni moja ya kifisadi inayoitwa OITDOOR LENYE MAANDISHI MAKUBWA BILA CCM MADHUBUTI TAIFA LITAYUMBA. mbona hawajaandika kuhusu msemo maarufu wa mwalimu kuwa ccm si mama yake na kuwa angeweza kuachana nacho wakati wowote?
 
kama nyie mnaamini maneno ya mwalimu pia alisema 'upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm'
mimi nashangaa hawa kina Dr.salim,Mwandosya and the likes wanachosubiri nini mpaka sasa??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom