Kuanguka kwa CCM: Kutimilika kwa Unabii...

Kila nikiangalia naona kuna hatari serikali ya JK (Just Kidding) kuanguka na kusababisha uchaguzi mpya kabla ya 2015 ,dalili zote za kuanguka kwa serikali zimeanza kuonekana ,mgomo wa wafanyakazi wa serikali ,bunge kuwa uwanja wa fujo na kupoteza heshima ,zaidi ni kuzuka kwa migomo katika elimu hili sio jambo dogo ,kwani kukosekana kwa elimu ni kuwa na Taifa la wajinga hapo baaadae.

Huu ni wakati wa Jeshi kujipanga pamoja na mahakama kuzuia Nchi na kuiweka katika hali ya amani hadi utakapofanyika uchaguzi.
 
Acha fikra mgando kwani kugoma kwa walimu ,wafanyakazi na madaktari ndio ishara ya kuanguka serikali. Naomba utaje faida za kuanguka serikali ya JK kabla ya 2015
 
Kila nikiangalia naona kuna hatari serikali ya JK (Just Kidding) kuanguka na kusababisha uchaguzi mpya kabla ya 2015 ,dalili zote za kuanguka kwa serikali zimeanza kuonekana ,mgomo wa wafanyakazi wa serikali ,bunge kuwa uwanja wa fujo na kupoteza heshima ,zaidi ni kuzuka kwa migomo katika elimu hili sio jambo dogo ,kwani kukosekana kwa elimu ni kuwa na Taifa la wajinga hapo baaadae.

Huu ni wakati wa Jeshi kujipanga pamoja na mahakama kuzuia Nchi na kuiweka katika hali ya amani hadi utakapofanyika uchaguzi.

umeshaona hili ni jukwaa la kidding?? just do kidding with your wife and children!!
 
Watu wote na Watanzania wanasubiri kwa hamu kubwa sana huyu babeli ananguka na kupondwa kichwa chake hivyo CCM inaweweseka kila kukicha na kial mahali watu wameamka kabisa
 
Hii serikali imelewa madaraka sana hasa bunge la tanzania kama wizara ya serikali bunge ata hawajengi hoja wamemuachaia mtu mmoja wa chadema tundu lissu na wengine wanaenda kujaza viti hasa wabunge wa viti maalum wa ccm me nakuambia kwa chama hiki na serikali hii mbele ni giza uwezo wa kufikili umefika mwisho wa chama hichi. mwisho wajiandaee kukabizi madaraka kwa chama kingine hii nchi ya vyama vingi.
 
Kila cku naota kuiona CCM aiko madarakani jamani lini itaondoka hii k2 tunatka new 4m of gvt
 
Am sick n tired with this gvnmt!hii serikali ya zima moto haiana hata direction,ndo inaporomoka hivo,hatuna raisi wala waziri mkuu,tumekuwa wapweke,watu wa kulialia ttu,we real need changes
 
Sheikh Yahaya mwengine well tukuulize umetumwa ? Kila la kheri we shall see mie sina chama ila nadhani CCM kuanguka ni ngumu sana. Zaidi kwasababu Chadema ni chama hakijajipanga kuchukua nchi hata kidogo. Sana sana kutatokea machafuko tu hasa ya kidini mark my words......

Hebu tujuze, chama kilichojipanga kuchukuwa nchi kinatakiwa kiweje?
 
Sheikh Yahaya mwengine well tukuulize umetumwa ? Kila la kheri we shall see mie sina chama ila nadhani CCM kuanguka ni ngumu sana. Zaidi kwasababu Chadema ni chama hakijajipanga kuchukua nchi hata kidogo. Sana sana kutatokea machafuko tu hasa ya kidini mark my words......

Wewe ndiyo uliyetumwa huoni ishara zote?Chadema kinajipanga na kitaendelea kujipanga na ikulu kitakwenda. Machafuko kama yatatokea yatasababishwa na CCM kama ambavyo ilvyosababisha kule Igunda, Meru Mashariki na kwingineko.
 
Vice versa is TRUE!. Aliyeanguka ni Abunuwas! Lakini story correct!

Kuna hadithi ya Abunuwasi alimuona mtu mmoja anakata tawi juu ya mti huku amekalia upande karibu na majani ya tawi na sio upande karibu na shina. Abunuwasi akamwabia yule mtu, 'Kwa namna hivyo uanvyokata hilo tawi, hakika utaanguka'. Yule mtu hakutaka kumsikiliza Abunuwasi, kwani alimuona kuwa yu mjinga, akaendelea kukata lile tawi hadi lilipokatika na yule mtu kudondoka chini!

Yule mtu akaondoka mbio kumkimbilia Abunuwasi, ambaye alikuwa hajafika mbali bado. Alipomkuta akamsimamisha Abunuwasi na kumuuliza huku akitweta, 'Lazima uniambie ni siku gani mimi nitakufa, kwani ulijuaje kuwa mimi nitaanguka pale mtini?'
 
Back
Top Bottom