Kuandamana na mpenzi au mke wako popote,kila inapobidi.

exactly ma bro, mie kama mama nahitajika kuwa nyumbani baada ya mihangaiko ya kutafuta ugali inabidi niwe home kuweka hiki na kile sawa, ni jukumu langu, sasa tukiambatana kila mahali muda wa kuangalia mengineyo nitaupata kweli?
Well said Nyamayao!!
 
Kuna watu huandamana na wake zao au wapenzi wao popote waendapo,hao huitwa kumbikumbi,na wapo wanaosema,kuandamana na mpenzi wako kila uendako si tabia nzuri,
ina hasara nyingi sana kuliko faida Mwana JF unasemaje?

Kwangu mimi sioni hasara yeyote. Lakini kama umeongozana na mkeo, then ghafla ukajikuta unapita mbele ya washikaji wanne ambao kati yao una uhakika kuwa watatu wamewahi kummega unaweza kuanguka chali iwapo una kifua cha plastic.

ONYO: Tafadhali kama umempenda sana mkeo, na una presha au ugonjwa wa moyo, basi usipende kuongozana na mkeo kwenye mtaa ambao unajua huenda ukakumbana na waliowahi kummega. Shauri yako.....!
 
Yah hapo ni paukweli zaid tena inatakiwa mpka saluni ili ujue anasukwa style gani,,,,yeboyebo sangita au rihana.. sio tu sa ya kwenda kuonja wine na mitoko ya usiku...thats sound more lovely to have some u love beside u.......
 
haaa kazi kweli, kisa cha kutopeana pumzi ni nini?
 
Kwangu mimi sioni hasara yeyote. Lakini kama umeongozana na mkeo, then ghafla ukajikuta unapita mbele ya washikaji wanne ambao kati yao una uhakika kuwa watatu wamewahi kummega unaweza kuanguka chali iwapo una kifua cha plastic.

ONYO: Tafadhali kama umempenda sana mkeo, na una presha au ugonjwa wa moyo, basi usipende kuongozana na mkeo kwenye mtaa ambao unajua huenda ukakumbana na waliowahi kummega. Shauri yako.....!

ushauri mwingine jamani....kha.
 
Kila jambo na wakati wake, huwezi kula karanga huku ukipiga mluzi, kuandamana ni vizuri lakini utaangalia nafasi, mahala, na aina ya matukio(events).
Kwa mfano unaenda Disko na mama halafu wanaume wasio wastaarabu wakakukera bure. Mnaenda bar kwa vinywaji, baada ya kuharibu hizo fuvu na mipombe mnaweza kuvunjiana heshima na kudhalilishana. Inategemeana, na inahitaji uangalifu kulinda heshima.
 
kuandamana, bar,hotelini,vikao vya arusi.sherehe,mpirani,kuona ndugu,kanisani,msikitini,kwenye muziki/burudani,shambani,safarini............

Hilo mimi sitakubali kabisa, yaani kila mahali? kuna safari za kuandamana na nyingine kila mtu anatakiwa awe kivyake. Imagine naenda kukutana na rafiki zangu, nipo na husband, du! yaani hapo ni kwamba hamuaminiani, au?
Unajua kuna vikao vingine sio vizuri kuwa couple. watu wanakosa uhuru wa kuongea kama mwenzao ana mke/mume pale. mimi yameshanikuta mara kama 3 hivi, tena utakuta wenyewe mmeamua kwenda sehemu, ghafla mnakutana na rafiki wa husband; mnaamua kukaa nao, yaani unaona kabisa jamaa wanavyochagua sentensi za kuongea as if wapo kwenye mtihani
 
Ni vema kuandamana lakini siyo ndo kila siku kila mahali. Nahisi kama inaweza fika wakati mtabore hivi! Mmelala wote usiku kucha mnazunguka wote mchana kutwa....siku mbili tu mmeshachokana. Stori zitaisha maaana matukio yote mpo pamoja! Au kuna kitu sijaelewa hapa! to me kuandamana occassionally kuna 'ladha' zaidi kuliko kila siku! Hata kisaikolojia kuna nyakati mtu anahitaji muda wa kuwa peke yake.

Stori mtasimuliana za ofisini, maana huko ndo pekee ambapo hamtakuwa pamoja. sasa kama mnafanya kazi pamoja imekula kwenu.
 
Nadhani ya kila sehemu kuwa pamoja iko unrealistic sana, bali kama ni mitoko ya kwenda katika msiba au kanisani/msikitini hiyo inakuwa mwake sana.
 
Back
Top Bottom