Kuajiriwa ni Laana Tanzania?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Binafsi sielewi kwa nini ajira ni chungu kwa sasa:


  1. Kodi anazolipa mwajiriwa ni kubwa kubwa mno kuliko watu wengine
  2. Pensheni ni ya kulazimishana
  3. Mishahara midogo
  4. Kugoma sio haki tena
  5. Foleni nayo inatukumba siye zaidi
  6. ......
  7. .....
  8. Nk
  9. Etc
 
Umegundua eeeh....yaani hapa napanga kuhama mji nijue moja. Ni kwetu Ntwara mambo yotee. Ajira zimekuwa pasua kichwa
 
Waajiriwa tuna wajibu wa kuungana kupambana na unyonyaji wa aina zote kuanzia waajiri waovu, mipango mibovu ya serikali ya kuanzisha wakala za kinyonyaji, kodi nyingi zisizokuwa na mpangilio n.k.
Jambo la muhimu hapa ni kumtambuaua adui na kumshughulikia badala ya kulalamika.
Ukombozi wa waajiriwa utatokana na juhudi zao wenyewe na kamwe hakuna wa kuwatetea.
Maisha ni mapambano!
 
Back
Top Bottom