Wewe kwani zitakuhusu ni sharia laws zitawahusu wale wanaozifuata na kuzikubali wewe hazitakugusa pilipili ya shamba wewe yakuwashia nini?????
sasa kama hazitawahusu wengine kwann mnataka kuziingiza ktk mfumo wa nchi?? sheria za nchi zinawahusu wote bila kujali kabila wala dini n.k..sasa kama sharia itawahusu nyie tuu ya nn kutaka kuiweka kunako mfumo wa nchi kwann msibaki nayo kwa dini yenu tuu...iyo mahakama ya kadhi sijui oic ni ndoto nchi hii ya Tanzania..umless watanzania woote kwa ujumla wetu tumechoka na hii amani..na tukiamua hivyo kwamba tumechoka na hii amani hakuna atakeyepona..simple..