Kuagiza gari japani na kutapeliwa

Ngigana

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
2,100
1,435
Wakuu mdogo wangu ameingia mkenge! aliagiza gari na kutuma pesa bila kutumia Pay Trade lakini hadi leo hakuna gari wala mawasiliano tena, ni kimya kabisa. Nani mwenye msaada, je anaweza pata pesa zake au ndiyo mkenge jumla! hajala tangu juzi kwa kiwewe na kiwewe cha kupoteza hizo senti alizo dunduliza?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom