Kuaga Mwaka 2009

Bia ilikuwa 3000 kabla ya mtikisiko wa uchumi.
Valuu sina uhakika ila naeza kukuletea spesho delivari wewe tu

Hehehehe! Count me out!!!!! Mi ntauagia mwaka zero pub! Bia 1500!
 
hiyo zero pub iko wapi labda inaeza kuwa a better option
 
Back
Top Bottom