Kuadimika kwa mafuta: Hivi kuna mgomo....?

killo

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
401
94
Wana jamii forum habari za usubuhi,

Naomba kuuliza hivi kuna mgomo wa mafuta ya gari... so far nimepita viuo takribani saba na vyote wanasema hakuna mafuta... to be precise; bamaga ya tbc, oilcom sayansi, oilcom victoria, victoria petrol station, total moroko na gapco mbili za ST. Peter, wote hao hawana mafuta kweli linawezekana hili..?

Ni hilo tu, kama nikipata ufafanuzi nitashukuru
siku njema
 
kupunguza msongamano wa magari wakati wa ujio wa mtoto wa mfalme na pia kuwezesha ulinzi wa mtoto wa mfalme na mji upendeze wakati akiwa humu, kwani yeye hataki msongamano wa magari
 
Mi nilizunguka vituo kibao,hawauzi petrol..nikabahatika Mwanamboka Kinondoni.
 
kupunguza msongamano wa magari wakati wa ujio wa mtoto wa mfalme na pia kuwezesha ulinzi wa mtoto wa mfalme na mji upendeze wakati akiwa humu, kwani yeye hataki msongamano wa magari

Kwani wangetoa amri ya kutotoka nje na kutoenda kazini msongamano usingelipungua
 
Wana jamii forum habari za usubuhi,

Naomba kuuliza hivi kuna mgomo wa mafuta ya gari... so far nimepita viuo takribani saba na vyote wanasema hakuna mafuta... to be precise; bamaga ya tbc, oilcom sayansi, oilcom victoria, victoria petrol station, total moroko na gapco mbili za ST. Peter, wote hao hawana mafuta kweli linawezekana hili..?

Ni hilo tu, kama nikipata ufafanuzi nitashukuru
siku njema

updates; so far nimefanikiwa kupata petrol - GBP sinza mori
 
haya mawazo yanaanzaga kama utani lakini kama wengi wanavyosema, 'Tanzania ni zaidi ya unavyoijua'. Yawezekana ngoja tusubiri
Kwani wangetoa amri ya kutotoka nje na kutoenda kazini msongamano usingelipungua
kupunguza msongamano wa magari wakati wa ujio wa mtoto wa mfalme na pia kuwezesha ulinzi wa mtoto wa mfalme na mji upendeze wakati akiwa humu, kwani yeye hataki msongamano wa magari
 
Wana jamii forum habari za usubuhi,

Naomba kuuliza hivi kuna mgomo wa mafuta ya gari... so far nimepita viuo takribani saba na vyote wanasema hakuna mafuta... to be precise; bamaga ya tbc, oilcom sayansi, oilcom victoria, victoria petrol station, total moroko na gapco mbili za ST. Peter, wote hao hawana mafuta kweli linawezekana hili..?

"Wanayo mafuta wanasikilizia bei mpya ambayo inaanza kutumika leo petroli 2043 na Diseli 1983 ambazo zinatakiwa kuanza kutumika leo J3".

Ni hilo tu, kama nikipata ufafanuzi nitashukuru
siku njema

"Wanayo mafuta wanasikilizia bei mpya ambayo inaanza kutumika leo petroli 2043 na Diseli 1983 ambazo zinatakiwa kuanza kutumika leo J3".ila ilikupotezea wanaweza jifanya hawa mafuta till jioni ili wasishtukiwe.Mkuu Lake oil ile ya njia panda ya mabibo wanayo mafuta.
 
Nchi hii bwana, eti nayo ina serikali na mkuu wa serikali nae yupo.
Pambaf kabisa.
 
mi nimeshachoka upumbavu...!!! watu wanpewa vibali kufanya biashara kwa khtoa huduma kwa jamii alafu wanaleta ujinga na migomo isiokuwa na msingi... kwani kuna siku ewura ilitangaza bei mpya na wanainchi wakagpma kweli.?? sasa nini sababu ya yoote haya..? adha ya leo asubuhi mungu nisamehe maana kama ingekuwa ni amri yangu nadhani tungekuwa tunazungumzia mengi mana ningefutia license garages zote zilizoleta mgomo baridi....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom