Kuachwa...

Jamani ebu nibadili mada, je akichukuliwa na Sophy utafanyaje bht, nyamayao?
 
dearest wacha kabisa, bac kuna wakati unamkumbuka nasema cjui nijaribu kumcal labda kabadili mawazo...lakini nikifikiria vizuri naona ngoja nikashushe ballantine nipoteze mawazo tu....niliteseka dearest, na huyo ndio mkaka alienifanya nikajua mapenzi, bac ile nimejiachia100% halafu unaachwa....looo kauwaji kabisa kale kajamaa.

angalau zimebaki story tu.....
ila mimi i bothered him only that nite........baada ya hapo all I felt about him was hatred!!! yeye na marafiki zake niliwachukia kupita maelezo!!! Silly him baada ya muda he wanted us to tok about it......aaaaaaaaagrrrrrrr nilimchukia ningekuwa na mimba ingetoka!!!!!

all in all kun awatu bwana its better that they left us maana tungelia pengine mara kumi elfu endapo tungeendelea kuwa nao!!!!
 
haa wapi, amuache nani na mimba...mimba ilikuwa ya wenyewe, lakini jamaa aliniachaga utamu, hakuna hata signal mtu ujue unacheza kwa step, ndio mana kwake nasema bahati mana aliniotea ki kweli kweli....kweli kilichopo moyoni mwa mtu ni cri ya mtu mwenyewe.

He! Sikujua ulikuwa unacheza double impact! Sasa ulijuaje kama mimba haikuwa yake?
 
Jamani ebu nibadili mada, je akichukuliwa na Sophy utafanyaje bht, nyamayao?

hapo sasa wote wawili lazima watumikie adhabu

wametenda kosa 'knowingly'.........
 
angalau zimebaki story tu.....
ila mimi i bothered him only that nite........baada ya hapo all I felt about him was hatred!!! yeye na marafiki zake niliwachukia kupita maelezo!!! Silly him baada ya muda he wanted us to tok about it......aaaaaaaaagrrrrrrr nilimchukia ningekuwa na mimba ingetoka!!!!!

all in all kun awatu bwana its better that they left us maana tungelia pengine mara kumi elfu endapo tungeendelea kuwa nao!!!!

Maneno mengine si mazuri kuyasema mbele ya watoto.

Ngoja nimkol Napoleo!
 
hahaaa, tatizo mahusiano yetu yanabadilika kutokana na mahitaji sasa hapa unaonaje kama hilo tukilipotezea ubaki tu kuwa biggy (maana hilo there z no way we can potezea)
 
we chris, muone vile....ucnitlie maneno mdomoni....sichezi na wewe tena.
hahaaaa usicheze naye mway awala kwenu asije na ngubiti usimgaie!!!!

afu leo alianza vizuri kweli nikajiuliza jana atakuwa hasalia TBC, itakuwa the real mass kumbe mgema kasifiwa.............
 
utaweza kuacha lakini bht? jamani ningumu sana

mie kwa kweli sijui ugumu wala wepesi wa kuacha...............

uamuzi huu unategemea na kosa, kama hili la kwenda huko kwa gubeli kama hilo kisa bibie cha kuzawadiwa maradhi kam tuzo ya uvumilivu nini??
 
FL! yani umeweka ukungu hata nashindwa kusoma, alafu utamwachia mwenzi hv hv tu, imagn labda mna kama 7yrs hv in marriage na watoto juu?

hapo si hv hv tena sababu si unayo???

mom kun andoa nyingine zilishajivunjikia japo wanandoa bado wanakaa pamoja just fo r the sake of their kids!!!
 
mie kwa kweli sijui ugumu wala wepesi wa kuacha...............

uamuzi huu unategemea na kosa, kama hili la kwenda huko kwa gubeli kama hilo kisa bibie cha kuzawadiwa maradhi kam tuzo ya uvumilivu nini??

Ni ngumu may b kama kuachwa, naweza kiri mi nilishindwa na nikakonda kama mgonjwa aliekosa lishe! wanaume waacheni tu, niliumia nikiwaza watoto watapata malezi ya upande mmoja, baada ya akili kuanza kunirudi nikaamua if u've something u love set it free if it comes back its urs if itdoesnt never was it! nikatafuta kazi mbali na nikaham nyumba kwa kisingizio cha kazi, na mawasiliano nikakata labda huyo dasophy aliamua kumwacha cjui ni long story bt nilikuja samehe bt ctasahau na siombei yampate mwanamke yeyote
 
hahaaa, tatizo mahusiano yetu yanabadilika kutokana na mahitaji sasa hapa unaonaje kama hilo tukilipotezea ubaki tu kuwa biggy (maana hilo there z no way we can potezea)

Kale kadude ketu kameshaanza kuleta mgomo tena. Agrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni ngumu may b kama kuachwa, naweza kiri mi nilishindwa na nikakonda kama mgonjwa aliekosa lishe! wanaume waacheni tu, niliumia nikiwaza watoto watapata malezi ya upande mmoja, baada ya akili kuanza kunirudi nikaamua if u've something u love set it free if it comes back its urs if itdoesnt never was it! nikatafuta kazi mbali na nikaham nyumba kwa kisingizio cha kazi, na mawasiliano nikakata labda huyo dasophy aliamua kumwacha cjui ni long story bt nilikuja samehe bt ctasahau na siombei yampate mwanamke yeyote
Pole mwaya Mom!!! ndo maisha!! hata wao wanume wapo wanolia n akusema jamani wanawake hawa???!!!

but at least you are back to normal!!!
 
hapo si hv hv tena sababu si unayo???

mom kun andoa nyingine zilishajivunjikia japo wanandoa bado wanakaa pamoja just fo r the sake of their kids!!!

better to stay their for the sake of the kids, mi ni victim wa ndoa zilizovunjika mayb niko affected bt dont want that to happen to my kids, I never had the a chance to talk to my dady abt it, he died b4 I could talk to him, let him know I hate him, I lov hm ando soo many !
 
easy Mom!!!
 
Ni ngumu may b kama kuachwa, naweza kiri mi nilishindwa na nikakonda kama mgonjwa aliekosa lishe! wanaume waacheni tu, niliumia nikiwaza watoto watapata malezi ya upande mmoja, baada ya akili kuanza kunirudi nikaamua if u've something u love set it free if it comes back its urs if itdoesnt never was it! nikatafuta kazi mbali na nikaham nyumba kwa kisingizio cha kazi, na mawasiliano nikakata labda huyo dasophy aliamua kumwacha cjui ni long story bt nilikuja samehe bt ctasahau na siombei yampate mwanamke yeyote

Foleni ya wahanga inaendelea. Pole sana mom. Sasa baada ya kuachwa unapumzishaje munkari ukikupanda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom