Kuachwa...

Unajihisi hupo Duniani ingawa kiukweli ni mzima!

Marafiki zake unawachukia kuwa huenda ndio wamemshauri akuache! Marafiki zako pia kwani unaona walijua lakini waliamua kutokukwambia!

Unakosa usingizi na hamu ya kula!

Na usipopata ujasiri wa kuamua kusonga mbele unaweza kuishia ile hospitali maarufu pale Dodoma!
 
Na pia kama uko weak sana unaweza kuita marehemu na story ikaishia hapo!
 
kuachwa bwana ackuambie mtu, khaaa niliwachukiaga wanaume wote duniani.
 
kuachwa bwana ackuambie mtu, khaaa niliwachukiaga wanaume wote duniani.

it hard to take nakwambia!!!

mi nilifikia point hata mwanume akinitongoza vita yake haina mwamuzi!!!

kiukweli u can reach to a very stupidy decision!!!!

eeeh mweh ngoja ninyamaze!!! Its only monday......
 
mie ilinifanya nikawa sitongozeki tena, niliona game lina wenyewe mie ctaliweza...halafu ndio huyo huyo bada ya muda kupita ananical eti aliteleza nimsamehe...balaa kubwa!
 
Hili sredi tamu sana. Ngoja nianze kutafuta walioolewa/watakaoolewa bila bikira.

Kuachwa ni shughuli pevu ...kama haijakutokea shukuru mungu
Wa kwanza huyu.............

it hard to take nakwambia!!!

mi nilifikia point hata mwanume akinitongoza vita yake haina mwamuzi!!!

kiukweli u can reach to a very stupidy decision!!!!

eeeh mweh ngoja ninyamaze!!! Its only monday......
Hapa ngoja nirizevu komenti yangu.

mie ilinifanya nikawa sitongozeki tena, niliona game lina wenyewe mie ctaliweza...halafu ndio huyo huyo bada ya muda kupita ananical eti aliteleza nimsamehe...balaa kubwa!
Dah! Kumbe na wewe? Punguza ukali basi dada. Utaachwa tena afu itakuwa balaa.
 
@ biggu unaziresevu mpaka saa ngapi?? sema tu................
 
Mie nawapenda walioachika! wakija kwako wanakuwa wamejirekebisha!

sio wote waliachwa kwa kuwa na makosa Mnyalu wangu weee!!!

wanakuwa na hasira ....inategemea uliachwa kwa sababu gani, kama kwasababu wazazi hawakupenda ndio shughuli

hapo sasa...mie jamaa yangu alizaa na mwanamke mwingine b4,mama yake had insured interest na familia y amwanamke aliyezaa na mwanaye, ikabidi amlazimishe kuoa huko (simtoi hatiani jamaa though) so some of us didnt do nothing wrong kabiaa ndo maana tulitaka kupoteza maisha!!!
 
Ee bwana hii mbaya sana kama ulimpenda sana matokeo yake huwa mabaya
1)uwezo wa kufikiri hupungua
2)una jihisi kama umetengwa na jamii
3)kama kazi zako zina hitaji umakini mkubwa unaweza kuharibu kazi
4) some time ukikutana na jamaa zako huna raha wanapo kuuliza shemeji hajambo:A S clock:
 
Dah! Kumbe na wewe? Punguza ukali basi dada. Utaachwa tena afu itakuwa balaa.[/QUOTE]

unadhani ishu ni ukali bac chriss, ukichokwa umechokwa tu hamna namna, ya kwangu bwana iliniuma sana aisee, yaani yule jamaa muache tu.
 
Dah! Mi nashukuru sijawahi kuachwa... Though najiandaa kuacha mtu...
It's so sad!!!
Hii thread inaanza kunifanya nijifikirie mara mbili...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom