Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,947
- 22,101
wana JF naomba kuuliza swali;kuna mtu alioana na mwenzie baada ya hapo mwanamke akakimbilia mahakamani anataka kuvunja ndoa;mashallah kaka wa watu akasema nenda hakuna shaka mwenyezi mungu amtupi mja wake kama hakuna A basi B inafwata...wakaenda mahakamani wakaachana na mwanamke akaondoka kwa honi kubwa.......jamaa akaondoka akamwachia kila kitu huyo binti...huyo bwana mwezi wa nane anataka kuoa jamani....kasema kukaa na dhambi ya UZINZI kashindwa...je kuoa mara ya pili ruksa...DINI nkristo
TUMSAIDIEJE
TUMSAIDIEJE