ku-unlock simu IDEOS

Wakwetu

Senior Member
Sep 14, 2008
156
16
Nimenunua simu IDEOS kwenye promotion ya Tigo sasa nikiweka laini ya simu nyingine inaandika SIM network unlock PIN. Naombeni msaada nifanye nini ili nitumie laini nyingine (unlocking ) Natanguliza shukrani.
 
Samahani kwenye promosheni hizo simu wanaziuza sh ngapi?
 
taja imetengenezwa na kampuni gani? toa battry soma pale nyuma then pm model na imei yake bila kukosea.:poa
 
Flash custom ROM... Jaribu FusionIDEOS,Dronix au Cyanogen 7 Nightly Realeses..its easy. Kama utahitaji maelekezo sema...
 
upgrade os,hzo za tigo zinatumia Android OS, v2.2 (Froyo) just download it as a freeware then copy it kwa memory card then fanya soft boot kwa phone to upgrade the os when its done it will be unlocked,also hiyo lock key yapatikana kwa many sites by generating its locl key through its IMEI
 
kuflash custom rom imekataa kuunlock... nimejaribu FusionIdeos na dronix... cynogen imekataa!!
 
afu nyie acheni uongo anaongelea network lock ile tigo ilio weka kuzuia kingiza line tofauti eti flash custom rom custom rom inabadili tu os ..ile lock iko kwenye boot loader so rom mpya aisaidii chochote .....

mkuu ukifanikiwa naomba unisaidie na mimi ..
 
Unaweza hata kubadilisha bootloader...kuwa member kwenye hii forum XDA Developers...utapata files zxote na necessary instructions zote huko mkuu.
 
Kui upgrade haiondoi Sim Unlock code , sehemu nyingi wanaonyesha unahitaji IMEI tu , ku unlock
lakini ni za kulipia , mwenye maujuzi ashushe plz...
 
kweli nimesaka DC unlocker cracked kila mahali nimeikosa ..maana hiyo ndio njia proven ...
 
afu nyie acheni uongo anaongelea network lock ile tigo ilio weka kuzuia kingiza line tofauti eti flash custom rom custom rom inabadili tu os ..ile lock iko kwenye boot loader so rom mpya aisaidii chochote .....

mkuu ukifanikiwa naomba unisaidie na mimi ..

Mkuu you are 100% mkweli. hizi simu lock area yake ipo kwenye bootloader. na si kwenye firmware. so una write bootloader area na zoezi limekwisha. kwanza unaipeleka kwenda emergency mode kwa kutumia command 3A halafu unacheck kama ipo kwenye emergency mode kwa kutuma commands hizi 0B 48 57 37 78 32 35 FF FF 4D baada ya hapo unatuma commands za bootloader na ku-write bootloader start address and end address. ukimaliza unaipeleka download mode kwa commands hizi hapa05 0F FF 0F C0 ED. the una unplug usb cable na ku-reconnect tena kisha una write an unlocked bootlader habari kwishney.
zoezi hili ndilo linalofanyika pia kwenye huawei modems customised firmware. isipokuwa kwenye modem huangaiki kwenye bootloader badala yake unacheza na EFS2 au kwenye firmware part(AMSS)
any one interested in learning this anitafute humu humu. ila mimi nime base kwenye VB.net nina mda wa kutosha siku za jpili.

Reversing/Microcontrollers.

Similar Discussions

Back
Top Bottom