Prisoner
Senior Member
- Jan 26, 2010
- 119
- 0
Habari wana JF mimi nimkuja hapa leo kuwaomba swali kwani nawajua wa kina SHY wanaweza kunisave nilisomaga wanavyo save watu. Laptop yangu ni Toshiba pro. sasa ilikuwa na window XP nikasahau Window Password kwa kulog in nikaiformat kisha nikaweka windo ingine sasa wakati nawasha (switch on) inakuja windo zote mbili inasema kama una select windo ya kwanza au ya pili au itaran automatic ikiran auto inanipa window hii niliyo install nikichagua inanipa window ile ya zamani kwani naichagua sasa mimi nataka ibaki moja je Nifanyaje??